Habari za Jioni wakuu?
Ki sayansi inasemekana ya kwamba Jua, ni moja wapo ya nyota katika Galaxy universe system..
Hivyo Basi jua/nyota yeyote ina Solar System yaani, kila nyota/jua lina sayari...
Habari wakuu naomba mwenye kujua kuweza kulitatua hili tatizo la smart tv yangu ya tcl 55" kuonyesha vimstari vidogo kimlalo (horizontal)
Vimstari vipokwa chini na kidogo kwa kati je hili...
Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako...
Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android,
Je inawezekana??
Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu..
Ninachochukia windows...
Wakuu naomba msaada wenu.
Nilikuwa niaangalia nyimbo(video) kwenye TV, kwakutumia deki. Kwakua sauti ilikuwa chini nilitaka kuongeza volume.
Sasa bila kuangalia nkabonyeza kitufe Cha channels...
Nina flash ya san disk gb 32 nkiiweka kwenye pc haisomi na hata nkitaka kuiflash pc inakua nzito kulko kawaida had inaandika pc not responding hadi niichomoe ndo pc itarudi kwenye hali yake ni...
Msaada desktop Hp compaq nikibonyeza batani ya power kinawaka kitaa kimoja kisha kinazima ila nikiipuriza na hot blower kwa dakika 1 au 2 nikiiwasha ina waka ila nitakapoizima tu haitawaka mpaka...
Jamani ndugu zangu ..
Nimewakutanisha hapa ili tujadili kitu kimoja ambacho nahisi nahitaji msaada wenu wa hali na mali...
Mimi ni kijana ambaye nimejikita katika kujenga brand yangu kupitia...
Mimi nahitaji kutengeneza app kwa kutumia react native kwenye visual studio nimesha set kila kitu kwaajli Ku code,, lakini kila Niki run react-native run-android kuna errors znatokea nmepambana...
Natumia tecno camon CX air,ni simu nzuri tu ila ina changamoto katika charge,inakaa na chaji vizuri tu ila sasa kwenye kuchaji ndo kimbembe unaweza ukaiweka chaji saa 1 asubuhi ukija saa 5...
Habari wanajamii, ninaomba kufahamu kuhusu hii app ambayo inasaidia speed ya kufungua picha kwenye app mfano instagram lakini tatizo linakuja kuna wakati inafanya app nyingine zishindwe...
Kama topic inavojieleza, nahitaji kuinstall drivers za Bluetooth pamoja na Wi-Fi kwenye PC yangu lakini kila ninayo jaribu hola.
Nimejaribu ku update machine, lakini wapi na hii imetokea nlivo...
Habari zenu wakuu,
Naomba mnifahamishe advantages za Ubuntu over Windows..
Pia kama kuna disadvantages za kutumia Ubuntu naomba kufahamishwa.
Shukrani wakuu..
Niaje wadau, rejea kichwa cha habari hapo juu. Kuanzia jana wengi walikutwa na tatizo la App kugoma kufunguka. Zikiandika STOPPED au NOT RESPONDING. hilo tatizo linasababishwa na programu za...
Hi fam.
Nime experience nikiwa maeneo yenye joto battery za vifaa Kama simu, laptop, iPod etc, zinawahi kuisha kuliko maeneo yenye ubaridi.. wataalamu mtuambie nasi Tuongeze ujuzi.
Copy ikawe...
Habari wanajamvi,
Nimegundua kuwa siwezi kuaccess mtandao wa Twitter bila VPN. Ama kwa simu au via PC. Tangu ziwe locke. Sijui kama humu mnapitia hili pia?
Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa za HUAWEI kwa miaka mingi, Lastly nlikuwa natumia P30 kabla ya kuhamia Samsung, Sasa kama mjuavyo bidhaa Mpya za Huawei hazina tena Google PLAY STORE.
KWA UFUPI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.