Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndo Kama hivyo,hata maneno ya kuandika Sina,wadau nifanyeje jamaa asiweze tumia Tena. NATANGULIZA SHUKRANI za dhati[emoji120][emoji120][emoji120]
0 Reactions
5 Replies
903 Views
msaada jamn tv yangu imevunjika kioo ni samsung smart inch 43.naweza pata wapi na kwa bei gani? Msaada hapo.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimeona news kuhusu one UI 2.5 rollout kwa galaxy A50 ni December ,je Kuna mtu yeyote simu yake imepata hiyo update?
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari za majukumu? Kuna mtu yeyote amepata updates ya android 11 kwenye simu yake ya samsung A50 sababu naona wameanza kurelease kwa model za international ( SM505F)
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Network Engineer/ Telecom Engineer au yeyote mwenye Uelewa wa Networking this Thread is for you Baad ya Kupanda kwa Beibya Vifurushi vya Internet nimeona Solution yake inawezanikawa VSAT...
0 Reactions
3 Replies
759 Views
Wadau polen na majukum Kuna simu nimeziona pale kikuu zina ram ya kutosha na internal gb nzur sn halaf bei ya kawaida nikasema ngoja nililete hapa kwa wajuvi mtujulishe juu ya ubora na uimara za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba msaada, Mimi ni mtundu wa android ila ios sina ujanja kabisa sababu hua sio shabiki wa ios, sasa kuna mtu kaniamini kanipa hela anahitaji nikamchukulie, sitaki kumuangusha. Mara nyingi...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari ya jumapili ndugu zangu wana jamvi, na hongereni kwa sikuku ya kubebika, endelea kudeka kama unadekezwa Narudi kwenye hoja ni hivi mimi nina hizo line zote tajwa hapo juu, huwa napenda...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu naulizia kama kuna mtu amewahi kutumia hizi mobile phone signal booster na ufanisi wake kabla sijaagiza. Shambani kwangu kuna baadhi ya maeneo yanapatikana mtandao lakini kwa taabu sana...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wandugu nimeona niulizie kupita hapa huenda wengine kipindi hiki wamepata hili tatizo. Whatsup yangu inaonyesha ilikuwa outdated mwisho tarehe 28 march nikibonyeza download Ili iji update...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za jion wana tech wa JF. Leo nimeshtuka kidogo, muda wote kwasababu nipo Twitter natumia VPN, sasa kuna muda nilienda Google ile paa nikajikuta nascroll mpaka chini kabisa bwana ee nikaona...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Msaada wenu wadau, kuna hizi lcd tv za startimes naziona zipo kwenye promo, kwa yeyote ambaye anaujua utendaji wake atujulishe, zinasemekana zina Hisense technology, kwa anayejua pia hisense ni...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Habarini za usiku wakuu,Mwenye kujua jambo kama hili nawasilisha kwenu naomba anipe shule nipate mwanga! Pia iwasaidie wasio elewa kama mimi!.
0 Reactions
2 Replies
445 Views
Nina mashine ya Maxmalipo nilikuwa anaitumia tangu mwaka 2010 lakini baada ya hapo nikaiweka pending bila kutumia ila sasa nataka kuanza kuitumia inasumbua netweki naomba kuuliza Je! hawa jamaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Naomba msaada kwenye tuta. Toka jana Email yangu ya Yahoo hainipi ushirikiano, sijui kama na wenzangu mna hiyo shida. Naomba mnisaidie kujua tatizo ni nini au nifanye nini.
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Habarini za jioni wana JF, Nina shida moja kwenye app ya Twitter, nikitazama video halafu ikiisha nikirudi nyuma kuendelea na mambo mengine ile sauti ya video inaendelea kuplay, na hata nikitoka...
0 Reactions
7 Replies
876 Views
Msaada PC yangu imegoma kuwaka baada ya baada ya kuzima kwa power batan nifanya hivyo baada ya kuona program moja aitak ku close
1 Reactions
7 Replies
782 Views
Mwenye ufahamu anisaidie kutengeza card nilisikia unaweza kutumia vodacom
0 Reactions
33 Replies
15K Views
Guys habari za kazi? Naombeni ushauri wa kitaalamu. Nahitaji kununua simu bajeti yangu ni laki 6.. Katika pita pita zangu nimeona hizi simu 2 ambazo bajeti yangu inaendana nazo: Ni ipi...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu salam. Nilikuwa na shida na hii software, tafadhali sana mwenye nayo naomba anipatie
0 Reactions
5 Replies
733 Views
Back
Top Bottom