Wakuu tujadili na kusaidiana kuhusu kutumia voltage ndogo katika miziki mikubwa, yaani namaanisha Power amplifier kwa v12. Najua itakuwa ngumu lakini lengo langu ni kuiboost dc v12 kuwa v40
Wakuu...
Naomba msaada nawezaje badili Facebook account ya kawaida iwe page bila kufungua page mpya.
Nimejaribu sipati hiyo option, napata only option ya ku-create new page siwezi kubadili.
Msaada wakuu
Naomba msaada wakufahamu ni nini kazi ya hiki kifaa na namna kinavyotumika.
Nimejaribu kuelewa lakini nadhani lugha imenichanganya kidogo huko mitandaoni.
Kuna mtu kaniletea ajue kazi yake...
Habari zenu wakuu!
Siku ya leo nimekutana na tatizo kubwa la kuunganisha huduma ya Proton VPN ni VPN ambayo huwa ninaitumia kuanzia jana na hata leo mchana cha kushangaza tangu majira ya saa tisa...
Wakuu salam,
Samahani hivi inawezekana kuwa VPN bila kuwa na app? Maana kwenye simu kuna ile sehemu ya ku add vpn yaani ile alama ya +, tafadhali naomba mwongozo.
Asanteni sana
Wataalam, nimefungua account ya biashara Instagram kwa ajili ya kupost matangazo yangu.
Sasa tangu nifungue nashindwa kufanya baadhi ya activity nachoweza ni kusoma post za watu tu.
Nilipofungua...
Habari wanajamii,
Jaman ebu naombeni msaada kwa wataalam wa sony music system hometheatre. Saut imeshuka ghafla. Volume nikizidisha yote sawa na volume 12 inasikika kidogo mno. Nimejaribu...
Eti huu wimbo, unaweza kuwa umerekodiwa wakati wa kuteneneza video? Yani hii video na audi vimefanyika wakati mmoja, vyombo vikipigwa live kama inavyoonekana. Au ni kwamba wamerekodi video...
Habari wanajamvi,
Natumaini tunaendelea vizuri.
Kila mwaka sisi hutarajia matokeo ya mitihani. Hata kama sio ya kwako, mtoto/ shangazi/ mpwa/ mke/ mme nk wanahusika.
Naomba kujua kama kuna apps...
Kama kichwa cha thread kunavyojieleza hapo
Kwenye hizo applications tajwa hapo juu kuna baadhi ya features huwezi kutumia mpaka uwe umelipa.
Sasa kwa mwenye ufahamu nawezaje kutumia hizo...
When I was young I could see kilometres away. Visibility was not a problem. You could see an iron sheet corrugated house miles away,and if you had good eyes, you could see even trees and...
Waheshimiwa!
Nilikuwa ninaperuzi (hili ni neno pia?) kwenye lile/ile tovuti ya Serikali (www.tanzania.go.tz), ambayo ninaamini inakuwa hosted na iliyokuwa Kamisheni ya Mipango (Planning...
Habari wadau wa hizi mambo. Nataka nijilipue nichukue mojawapo kati ya hizo brand ziko kwenye punguzo huko AE.
Je ipi ni bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu salama humu?
Naombeni msaada katika hili. Mahali nilipo huduma ya internet kupitia mitandao ya simu haipatikani na ikitokea inasoma E kiasi kwamba siwezi fanya cha maana kwa kutumia...
Dunia inazidi kusonga mbele kwa kasi. Japo wanadamu wa kiafrika tupo kama tumesimama huku tu kutazama mwendo wa dunia.
Sina shaka kwamba ajali za pikipikiHii ndio zinaongoza kwa kusababisha vifo...
Salaam wana JF...
Moja kwa moja nijikie kwenye jambo lililonileta hapa Jukwaani.
Iphone yangu inatatizo gani?
Mara ya kwanza nilitaka kudownload twitter baada ya kuifuta kwa bajati mbaya...
Habari za asubuhi wakuu natumai wote wazima, kama title inavosema naomba kujuzwa gharama za
Camera ndogo ambazo zitaunganishwa na sim yangu popote nitakapokua niweze kupata picha za eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.