Afrika bado sana, wakati serikali zetu zinapuyanga kwenye siasa za kuumiza wananchi wake na kufikilia kumuweka mtawala afie madaraka wengine wanasafiri.
MADA:
Nimekuwa nafuatilia hawa waarabu...
Kuna watu wamehamia kwenye bidhaa za Germany wanazisifia sana, mfano wale wazee wa magari wanazipigia debe VW, naomba maelezo juu ya hii simu janja Carbon 1 MK II.
Ni simu yenye yenye muundo wa...
Wanajukwaa naomba tujuzane ili kwa anayefahamu kuna izi PC sina akika kama ni za kisasa au vipi
Zenyewe ni za chrome.
yaan kama ni hp basi HP chrome au lenovo chrome.
Inasemekana ukitaka...
Wajuvi natumia Oppo A9 2020 yenye RAM 8gb na ROM 128gb Mimi ni mgeni kwenye hizi simu yeyoye anayejua Jinsi ya ku-update Android kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nawasilisha.
Habarini, naombeni msaada kwa mwenye link yoyote ya crack ya ms office ya mwaka wowote tafadhari anisaidie.
Nilikua na setup zangu nyingi ya mwaka 2013, 2016 na 2019 kwa bahati mbaya nilifanya...
Jamani wana jf kwanza habarini.
Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu au ufahamu wa hii kitu. Mimi nimenunua subwoofer aina sea piano 8800 lakini kila nikajaiwasha ili nisikilize mziki either...
matumaini yangu ni mzima wa afya..
Leo ntaelekeza ni namna gani unaweza ku-install window 7 kwenye simu yako ya mkononi, najua itakushangaza sana ila nirahisi mno.
kinachoitajika ni umakini wako...
Katika Sayansi ya anga,Ulimwengu na Teknolojia zake kuna kitu kinaitwa "Paralle Universe" au Ulimwengu sambamba, huu ni ulimwengu "dunia dhahania" ,ambao unasemekana kuwepo ingawa haugunduliki...
JIFUNZE KUHUSU RESISTOR
Resistor ambapo katika saketi huwa na alama ya "R" ni kifaa cha umeme ambacho kinafanya kazi ya kupunguza mtiliriko wa umeme katika saketi ya umeme.
Resistor hutumika...
Naomba kujua kama Epson L210 inaweza kuprint labels.
Pia gharama zake kwa hapa Dar es Salaam ni Tsh ngapi?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Baada ya majaribio kadhaa sasa Facebook imeanzisha Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki na takribani mataifa 170. Instagram Lite inakuja kama mtoto anayefuata baada ya Facebook Lite.
Instagram...
Habari,
Nahitaji kupanga matokeo ya wanafunzi kwa kuzipanga sheets yaani sheet ya kwanza iwe na alama , sheet ya pili iwe na matokeo, sheet ya tatu iwe na grade!!
Yaani sheet zifanye kazi kwa...
Kochi la kipekee lililobonuwa na mtanzania na kutengenezwa Tanzania likiwa na Music system yenye Bluetooth, FM radio, USB port, SD port, built-in AUX cord. Pia likiwa na Shelf, Taa, Draw, na...
Sasa ni rasmi Spotify inapatikana Tanzania na Afrika Mashariki.
Baada ya miaka kadhaa wapenzi wa muziki na maudhui ya sauti, waliokiwa wakisubiri kwa hamu ujio wa Spotify Afrika na Afrika...
Hapa karibuni kma siku 3 hivi zilizopita Internet speed zimekua mbovu sana. Natumia Voda na TTCL. Yaani speed imeshuka sana. Kwenye spend nilikua napata hadi 20mbps download lakini sasa napata 1...
Wakuu, natumia Lenovo T420 Core i5, HDD 320, Ram 4 GB. Graphic card 3000.
Je, naweza kufanya 3D animation? Kama naweza je ni app/ software gani itaweza run kwenye hii pc? Na kama siwezi je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.