Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kabla ya yote kwanza naomba ufafanuzi juu ya vitu hivi kama vina utofauti. IT, ICT & Computer science. Baada ya hapo naomba kufahamu ni wapi hapa Tanzania naweza kupata elimu nzuri ya masomo hayo...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Sasa hivi hakuna maadili ya kazi katika taasisi za mawasiliano, na hili halizungumzwi na wahusika. Ni vyepesi sana kuibiwa simu na sim card zikiwemo, na Kibaya zaidi ukichelewa kurenew ndani ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wadau, Nahitaji kutuma data kwenye server kwa kutumia mobile app kwa njia ya web service, hizo data zitabeba iterm name na price then id inakuwa auto increment, nimetengeneza db kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nafanya my project ya kubid vifaa sasa hapa nachotaka hili file la kwanza mtu akibid now ieende "orderform.php" tatizo ni hilo fail la pili inaexecute 'tv' na linaretrive data za watu waliobid...
0 Reactions
3 Replies
909 Views
Habari wanaJF, nataka nidisplay data from database iwe hivi kwenye page, shida inakuja how to create sql query to do this and php scripts.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
wakuu, msaada kuhusu configuration za mms za voda, nahitaji kutuma mms kwa mtu. nmejaribu kupiga huduma kwa wateja lakini hawapokei simu. nikajaribu kutuma sms ya neno mms kwenda 15300 lakini...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Mi ni muhitimu wa kada ualimu. Nimemaliza chuo mwaka 2019 nipo tuu mtaani. Napatikana mkoani nimeona kuna fursa ya kuweka games hapa tunapoishi, nipo tayari kuwa mwanafunzi wa hii kitu na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Upo kwenye simu janja yako muda wote? Muda wote imeunganishwa kwenye mtandao unavyosogoa na marafiki kupitia Whatsapp, Instagram na mitandao mingine ya kijamii? Upo kwenye hatari ya wizi wa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo tupeane ujuzi kuhusu AC aka viyoyozi je ni kweli huwa zinatumia unit hadi 35 hadi 40 kwa zikiwasha masaa 24? Wenye AC mje mtupe ushuhuda huwa mnatumia vipi na huwa inatumia units ngapi kwa...
7 Reactions
60 Replies
15K Views
Msaada kuset facebook (Instagram Ads). Kama Una Uzoefu Katika kuset target facebooks ads & Instragram njoo Inbox Tuyajenge.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miaka 3 iliyopita serikali ya Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi kampuni ya vifaa vya mawasiliano ya China, Huawei kwa sababu za kiusalama. Vikwazo vilianza kung'ata mwaka jana Huawei...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini za leo wana jamii, Ninaomba msaada ninahitaji ku Unlock Modem ya Airtel Huawei e3531s-1 Asanteni sana.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kila nikiwasha pc inaandika Boot device not found Please install an operating system on your hard disk. F2 system Diagnostics Tatizo nini hapa wataalamu
0 Reactions
2 Replies
623 Views
Wakuu nimeibiwa Leo iPhone 12 pro max na kijana wa kazi na kutokomea nayo. Je, ni kwa namna gani naweza ipata? ============================= Nilifanikiwa kuipata hii simu.
3 Reactions
97 Replies
13K Views
Mimi ni mtumiaji wa VS code na Brackets editor, lakini huwa naona Brackets ni nzuri sana, yaani kuna mguso flani nikiwa naitumia especially napocheza na UI dah! kutoisupport hii kitu ni mawazo...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Nahitaji kununua projector kwa ajili ya kufundishia watu kama 150 hivi Iwe inatoa picha/Michoro mikubwa na ya rangi maandishi makubwa yanayosomeka Display yake iwe kubwa kwa kuwa watu tarajiwa ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
3 Nobel Prize winners in the one family. Marie Curie (physics & chemistry). Pierre Curie (physics) & their daughter Irene-Joliot Curie (chemistry) making them the most Nobel laureates family to...
1 Reactions
4 Replies
559 Views
Over a third (38%) of women working in the IT and tech industry claim that a lack of females in the sector made them wary of entering the profession, according to Kaspersky’s latest Women in Tech...
1 Reactions
1 Replies
770 Views
Wakuu, nimekuwa nikisumbuka hasa kupata activation keys mara lincence za ms office versions. Nahitaji tushirikishane softwares nyingine ambazo ni mbadala ukiachana na MS offices. Mimi nazifahamu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom