Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama ninavyosomeka hapo juu. Watz nahitaji kufahamu configuration za internet ya ttcl
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Ndugu zangu mlowai nunua simu kikuu mnipe uzoefu, mi niliweka order tar 21 december 2020, lakini hadi leo karibia mwezi mzima lakini mzigo bado uko warehouse.
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu! Samahanini jamani naomba mwenye kujua anisaidie yafuatayo; > Endapo gari langu nitaliacha kwa muda mrefu bila kulitumia je kuna matatizo ambayo yanaweza kujitokeza? > Kama...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Hellow Wandugu Naombeni Mwenye kujua maujanja ya kurusha tukio live kwa kutumia Obs Studio Pasipokuwa na kile kimashine cha Live Please naombeni waja mnisaidie. Nb:Kwa walio serious na wanaojua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kama wewe ni software technician wa simu...eleza tatizo lako na saidia katika ufumbuzi wa masuala mbalimbali yanayohusiana na software katika simu..mnakaribishwa...by the way naitwa mbonde
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naam Naamini hapa kuna wajuvi wa mambo mengi mazuri, nilitaka kufaham ni njia gani nzuri na rahisi zaidi inayoweza kuniwezesha ku transfer wirelessTransmission Audio&Video kutoka kwenye Decoder...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Wapendwa nimeibiwa simu aina ya TECNO Camon 12. Nina Imei yake nawezafanyaje ili niipate?
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Inasikitisha sana wakuu
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu heshima yenu. Naomba msaada wa kupatiwa activation key ya microsoft office professional Plus 2019 Mfano nikiandika kwenye Microsoft word inagoma na kuleta maandishi "you can't make this...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Naombeni ushauri wenu wadau mm nimemaliza kidato cha Sita mwaka jana ila sikwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali hivyo mwaka huu ndio nahitaji niende chuo! Naombeni ushauri ni kozi ipi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimenunua simu mpya, nikaweka line zangu toka simu ya zamani. Nikakonect internet na whatsapp, loh! whatsapp zangu contacts ma msgs hazikurudi. Nifanyeje?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi nahitaji msaada kama inawezekana , Najua kutumia vema kompyuta, mpaka kufanya matengenezo upande wa software pekee, najua kutumia vizuri Microsoft office, kupiga window na kurepair kompyuta...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
siwezi kufungua emails zangu mpaka niingize code ambazo zinatumwa kwenye simu yangu. bahati mbaya sana line ya airtel ambayo code hizi zinatumwa sina, yaani amepewa mtu mwengine kwani sijaitumia...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Habar wadau! Leo nimepata tatizo ambalo sijawah kutana nalo before naomba niweke wazi mm nina password moja tu na ndio io io nalogin kwenye account zangu zote sasa mara ya mwisho nilikuwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
CASSINI ikiwa inazunguka kati ya Saturn na mwezi wake wa Titan Utangulizi Leo ni siku ya kihistoria na mafaniko makubwa kwa wanasayansi wa elimu ya anga duniani (astrologists) kwani majira ya saa...
28 Reactions
39 Replies
15K Views
Wazo Challenge Tanzania ni mchakato ulioanzishwa kuwawezesha Watanzania kutatua changamoto za kidijitali Tanzania. Je, una wazo ambalo linaweza kutatua changamoto fulani? Kwa kujiunga na Wazo...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu leo nilikuwa napitia application ya alibaba nimeona kule wanauza pc kwa bei ya chini, yaani pc ina screen 15.6 GB 8 inauzwa. Tsh. 279,000 ... Na vitu vingne vingi vya quality kwa bei ndogo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habar wakuu Kuna mtu kaibiwa simu naomben mnipe mbinu nimsaidie kuitrack online Thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaan leo ndio nimechoka km hali ndio hii hii serikal sidhan km ipo kwamaslah ya wananch bali ipo kwa maslah yake yeye yenyewe Majuzi juz apo nilimsikia spika akisema kuwa sijui wapandishe kodi...
16 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom