Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani nahitaji projector nataka kuonyesha mpira lakin sina uzoefu wa hiki kifaa naombeni elimu kuhusu brand bora,size,nasikia zinasetiwa kwa masaa maalumu hili likoje,pamoja na bei zake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua kama naweza kui update simu tajwa toka android os 9 to os 10, kama inawezekana nichukue hatua zipi kufanikisha zoezi zima. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu natafuta Android TV box kama unayo au unajua mahali inauzwa SIFA Iwe na 4k HDMI out Optical/ Toslink ( Muhimu sana) Issuport Dolby na DTS sound Issuport MKV, MP4, AVI na common codec Iwe na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye kufahamu App inayoweza kunirejeshea picha za zamani nilizopoteza kwa simu nilizotumia zamani zikapotea, ila email nayotumia ni ileile kwa simu zote zilizopotea.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wadau! Nilikuwa nataka kujua je board ya wahandisi au engineering (ERB) inaumdwa na watu wangapi na majina yao kama yapo..! Je yule mzee Dokta wa Civil engineering pale Kilimani mwenye...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapi naweza kupata tablet nzuri kwa Budget ya laki nne?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Just In! Nimepokea feature hii ya Spaces muda kidogo uliopita. Kupitia Spaces kuna Host, Listener's, na mambo mengine mengi zaidi. Twitter Spaces ni mfumo wa kuwasiliana kwa kutumia sauti likely...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nina programm Application ya Kustream Live Television channels kama Ilivyokua kwa Mobdro au LiveNetTv . Last Year nilitengeneza Kwa jina la Fsociety ila ninahitaji idea ya Jina...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Yaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa Kuhusu hii app..inafanyaje kazi Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app. Je, ni msanii anaweka? Je, ni bloggers Au Ni...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani watanzania za saa hizi Ninaomba mnieleweshe kwamba Je kuna njia ambayo mmiliki wa website anaweza kubadili MB za wanaotembelea website na kuzibadilisha kuwa fedha?? Na kama ipo ni njia...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wadau,Matumizi ya simu na maujajanja yake yametofautiana sana yaani wengine wako Form Six wengine Diploma na wengine PhD, hasa linapokuja suala la Smart phone. Mfano LIVE FOOTBALL TV kwangu ni...
5 Reactions
141 Replies
17K Views
[emoji599] This is a big one [emoji599] We are very proud to announce the official release of the Appwrite SDK for Dart. Now any Flutter/Dart developers can use Appwrite as an end-to-end...
1 Reactions
0 Replies
848 Views
Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kama mada inavyojieleza siku za hiz karibun mobdro imefungiwa, msaada kama kuna app nyingine inayoweza kureplace mobdro hada kwenye sports live streaming,na iwe pia compatible na android tv os...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau mwenye link ya online tv app naomba anitumia ni ile ambayo ina channels za kibongo
2 Reactions
25 Replies
18K Views
Iwapo kuna mtu anaijua vizuri software ya Atlas.ti na yuko tayar kunifundisha please ni PM tuelewane.
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Yaani siwezi ku insert drive Link hata kuona tu tap ya insert drive Link. Msaada jamani yamenifika shingoni.
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Habari Wataalamu, Naomba msaada wa kutaua tatizo kwenye desktop baada ya kudisplay maneno ya Enter Power save mode kwenye desktop Asanteni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za asubuhi everybody ! Nauliza wale wanzangu namie wapenda habari. Nimeamka saubuhi twitter haifunguki je ninyie ipo hivyo kwenu!? Na nini shida?
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Vipi kuhusu ufanisi wake au ni janja janja tu ya wachina? Je Kariakoo zipo na bei yake ikoje? Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom