Guys acha niweke kitu sawa kidogo.. Hakunaga simu inatwa android na wala hakunaga smu inaitwa ios.. kama unabisha wee bisha tuu.. Android ni system ambayo wote wanaotengeneza device zao huziweka...
Habarini wakuu.
Nimeibiwa simu yangu hivyo uamuzi niliochukua ni kutafuta nyingine kwani kuifatilia iliyopotea naona nitapoteza muda mwingi na hela nyingi...
Nimeamua kutafuta simu nyingine...
Wakubwa hongereni kwa Ujenzi wa Taifa letu pendwa [emoji1241]
Wakubwa naomba kufaham kwa wenye ujuzi wa haya Maswala ya Computer naomba kufaham ubora wa Hii PC Aina ya Hp elitebook 2760
Core i3...
Surface Pro, za microsoft hasa kuanzia pro 3 na kuendelea nazikubari sana. ila hiki kifaa naona kama kiko weak sana kwanza kina processor weak pia. Sidhani kama kitafanya vizuri labda kakitoa...
Nahitaji nichukue mojawapo kati ya hizi simu kwenu wakongwe wa gadgets ipi itakuwa njema kwa vigezo hivi...
1-Battery backup
2-Camera
3-premium look
4-display
Mapendekezo pia kama kutakuwa na...
Kwa miezi sasa nimekuwa kila nikifungua e mail yangu nakutana na email za watu wakiniomba kazi wakiwa wameambatanisha na CV zao!Nadhani labda kuna watu wasiowaadilifu wametumia email address yangu...
Kama umekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya Google Assistant, utakuwa unafahamu ni kwa ainsi gani huduma hii ilivyorahisisha utafutaji kwenye simu yako. Ni rahisi kutafuta kuhusu hali ya hewa...
Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
Sielewagi kwann hawa jamaa huwa hawaweki Radio kwenye simu zao hasa S series na NOTE series ukiacha zile za nyuma sana na hizi S10 na S10 × Ambazo zina radio Hence Radio yake huku kwetu inweza...
Utafiti wa soko la teknolojia, uliofanywa na Kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. Mwishoni mwa mwezi...
Wadau kutokana na kuwahi ibiwa Tv zangu za Samsung mara 3 nyakati tofauti tofaut sasa nmeamua kuachana na kununua TV.
Sasa nawaza kununua Projector. Naomba ushauri kwa projector ya kufaa kwa...
Habari wakuu,
Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea.
Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka...
kama uzi unavyojieleza tusaidiane viongozi kupata vitabu
mimi naomba yeyote mwenye vitabu au lecture notes za course hizi atume hapa
1. INTRODUCTION TO HIGH LEVEL PROGRAMMING
mwenye kitabu...
Wadau polen na majukum
Mada inajieleza ,naona wimbi la watu wengi wanakuja inabox na kutaka kuwa marafiki kwa nia ya kuview status
Hebu naomba tupeane elimu humu mana najua kuna cha ziada mana...
Wakuu habari za wakati huu?
Okay, mimi nina swali napenda kulileta kwenu, Je? Ni nini kinapelekea kuwa kwa utofauti ukiwa na unasikiliza mziki kwenye simu ukilinganisha na kwenye PC tena ukiwa...
Msaada wakuu nilikuwa natumia tv hizi za Mobisol badae ikawa inanisumbua nikaiuza.
Naomba kujuzwa ni tv ya kampuni gani za solar ambay ni nzuri kwa uangavu wa picha na uimara wake pia na bei...
Screen ya laptop yangu ina tatizo, inatoa mistari ya blue na kijani, mieusi au rangi zingine na kuchezacheza -- mawenge, hii mistari ni vertical au horizontal, cursor inastick muda wote na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.