Habari wakulungwa, natumaini mko poa kabisa.
kuna best yangu mmoja hajawaiii tumia iphone na niseme ukweli na mimi mmoja wapo na sababu tu sizipendi kwakuwa nasikia zina limit na mambo ya kuto...
Wakuu nina simu yangu samsung note 5, nataka nibadili imei namba nipeni ujuz jinsi ya kufanya. Nimesaidiwa mengi jukwaa hili hope na hili nitasaidiwa.
Natanguliza shukrani.
Sent from my SM-N960F...
Salaam!
Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado...
Habari zenu,
Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo.
Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani.
Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia...
Ndugu wana JamiiForums forum naomba msaada kwa mwenye kujua Jinsi ya kurekebisha hiyo simu. Ilikuwa na line mbili inashida ya network kwenye upande wa data , ila kupiga inafanya kazi kama kawaida...
Habari,
Mm ni fundi simu na ninapenda kuzidi kujikita zaidi katika kupata maarifa mapya ya kazi yangu so kuna suala la kubadilisha Memory (internal), Proccessor, Power IC.
Napenda kujua...
Wadau nimetembelea mtandao wa Ali Express kuna simu mbalimbali nimeziona kule na kwa bei nzuri simu kama qukutel n.k.
Je, nikiagiza haziwezi kuja kuleta shida bongo au tayari jamaaa washaiweka...
Msaada nimekuwa nikifuatilia mikutano,kongamano AMA hata mahakama Kuna kifaa hutumika ku translate lugha mbalimbali mfano kiswahili kwenda kijerumani,kiingereza nk. Na kinakua ear phone/head phone...
Wakuu kuna simu hapa infinity hot6 x
Inashida imekata network kbsa ya mtandao wowote,
Yaana inaonyesha kabsa line zipo lakini network aishiki,
Tukiangalia upande was hardware Hamna shida yyote...
1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k.
2: HUAWEI • Hii ni kampuni kutoka...
fanya haya kuokoa maisha yako kwenye simu
Wengi wetu siku hizi tunaweka password / pattern katika simu zetu kwa ajli ya kuweka ulinzi katika simu, hali hii humpa mtu wakati mgumu wa kufungua...
Anaejua namna ya kufanya hii s pen i connect mweny simu naomba msaada yaaan ni kwamba inafanya kazi kama kawaida ina sense vizur na kila kitu kipo sawa isipokuwa hilo la kucconect maana isipo...
Hello 👋🏼 tech geeks!
Kwanza nahitaji kujua michezo ya karata kama last card na robo sitini (informally: alba stin) inapatikana kwenye app stores na inaitwaje. Nimeona michezo kama poker...
Habari ya mwaka mpya waungwana.
Nimekuwa nikitatizwa sana na hili jambo,naombeni wenye uelewa wanisaididie ili na wengine wenye interest ya kujua wanufaike.
Nataka kujua,ile "tochi" ya matrafiki...
Nimenunua headphones kwa ajili ya sports Mostly Jogging
But hazikai kwa sikio zinateleza kwa jasho.
Headphones nzuri kwa sports Ni zipi na Bei gani?
Moderator naomba unibadilishie heading...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.