Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu zangu habari zenu,ninahitaji msaada wa fundi alieko mkoa wa mbeya au kijana yeyote alieko mbeya mwenye uelewa wa kuweka custom rom mbalimbali kwa simu. Ndugu yangu ana simu aina ya redmi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni msaada wa kujuzwa kwa yule ambae anafahamu ni application gani nzuri kwa ajili ya video editing kwenye pc ambayo unaweza kuchanganya,video normal picture,ukaweka...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Wakuu, naomba tukumbushane ni sababu zipi zinazopelekea milipuko mingi kutokea milimani?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba anaejua ubora wa deepfriza anisaidie kuchambua ubora wa huyu mnyama homebase warant 2yrs price laki 8
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Naomba kujua Jinsi ya Kuondoa E - Mail ya Mtu katka Samsung Account, Simu nilinunua kwa Mtu ambaye Sina namba zake, Nataka nisajili Account Yangu Kwenye Samsung kwa Ajili ya Security
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari za muda nipo sehemu ambayo internet speed yake ni tatzo ina soma 3G ambayo haina nguvu jana nilidownload VPN ingawa kwa shida nilivyo iwasha speed ya internet ikaongeza yaani hata YOUTUBE...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu? Nina printer aina ya EPSON L850 changamoto niliyonayo nashidwa ku print PVC card. Naomba msaada wa jina la software ili niweze ku download nifanye hii shughuli. Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye FIFA msaada jaman na mortal kombat 11 far cry 5 na need for speed payback kiufupi naitaj game za PC [emoji120][emoji120]
3 Reactions
18 Replies
3K Views
[emoji880] Stellar Phoenix Windows Data Recovery – Professional is a do-it-yourself data recovery software that helps you to easily recover deleted files & folders, missing or corrupt partitions...
2 Reactions
160 Replies
22K Views
Kioo cha latitude 2120 kinauzwa bei gan wakuu hiki kilatop kamedondoka kioo Kwishiney kiweka mstari
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Jamani habarini humu naombeni kuuliza Kuna kipindi nilikua naona kwenye mtandao wa Alibaba pc flani ndogo zilikua zinaendeshwa kwa Android. Sasa ningependa kujua je zinapatikana madukani na bei...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa? Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Ninahitaji kujifunza ufundi simu (fani ya ufundi simu) either hardware au software au zote mbili. Napendelea nifundishwe na fundi simu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Browser gani tatu ni nyepesi (lightest) inafaa kwa PC yenye memory/ram ndogo?
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna watu wengi wamekua wakiulizia jinsi ya kupata free internet kwa njia ya vpn commonly tunneling, nami ningependa kutoa mchangu wangu kuhusiana na hii haina ya internet. Ni kweli unaweza pata...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba kuelekezwa namna ya kuset access point za voda kwenye simu yangu maana naona network inanisumbua kweli. Kwa sasa zipo km inavyoonekana kwenye picha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Nina pc ya dell inspiron 3521 ambayo ina tatizo moja kwamba, ukiweka waya wa charge, betrii halichaji Bali inakia inatumika kama desktop, lakini nikipeleka betri kwa pc 💻 ya mtu betrii nachaji...
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Watanzania wengi hawataki kusikia habari za 5G, watakwambia "4G haijasambaa nchi nzima, malizeni ku cover 4G ndiyo mtuletee 5G". Tukiwa na mawazo haya hatutafaidi vitu vizuri . Mbona 4G ililetwa...
4 Reactions
80 Replies
5K Views
HOW TO TRACE A MISSING OR STOLEN PHONE: If you lose your mobile phone, you can trace it without going to the police. Most of us always fear that our phones may be stolen at any time. Each phone...
6 Reactions
23 Replies
10K Views
Wakuu nahitaji msaada mwenye uelewa wa masuala ya computer, nina mashine yangu laptop nilikuwa naifanyia activate windows lakini matokeo niliyoyapata yalifeli kabisa, sasa baasi nikiwasha inawaka...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Back
Top Bottom