Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hivi simu iliyo ndani ya warranty ikivunjika kioo warranty yake inakubebaje nauliza watakubadirishia kioo bure au watakuchaji pesa ni samsung A02s
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu,modem yangu (vodacom) inakata mtandao, yaani sometimes yes, sometime no na muda mrefu inaandika No Service. Najua humu wapo wajuzi zaidi, Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
0 Reactions
1 Replies
672 Views
Nilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera. Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue...
6 Reactions
79 Replies
5K Views
Heshima wanaJF, Naomba msaada/ushauri. Kijijini kwangu kuna shida sana ya maji salama kwa matumizi ya binadamu. Nimekuwa nikifikiri sana namna ya kupambana na hili tatizo bila kungoja serikali na...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Msaada jamani kuna simu tajwa hapo juu Iphone 4s nkiweka line za kibongo inahitaji kuactivate ili isome, nkiactivate kwa kutumia WIFI mwisjoni inasema SIM NOT SUPPORTED. Nifanyaje ili line ziweze...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Nina simu yangu nimenunua majuzi hapo(haina hata week?) aina ya samsung hzi A 51 series....sasa jana imeisha chaji ikazima nikaichaji fresh kuwaka ndo ikaanza mazengwe...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari wapendwa, Naomba kufahamishwa jinsi ya kukata ticket ya njia ya simu. Kwamba ni unadownload app au nafanyaje? Msaada wenu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huduma ya Ujumbe Mfupi (SMS) ni sehemu ya huduma ya mawasiliano ya maandishi ya simu, ikitumia itifaki sanifu za mawasiliano zinazoruhusu kubadilishana ujumbe mfupi wa maandishi kati ya laini au...
2 Reactions
2 Replies
974 Views
Habari zenu ndugu zangu? Mwaka huu na mpango wakuanza kutumia iphone hasa taget yangu ni iphone Xs max au 11 pro max(napenda simu kubwa) ila kuna kitu nataka kujua kuhusu hizi iphone kwa kwel...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina game ya fifa 2014 nataka nipate kit mpya za 2021 mfano jezi mpya au hata wachezaji waje wanaotamba kwa msimu huu wa 2021. Nifanyeje wakubwa
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Wadau ni nini kinasababisha simu kupata moto wakati umewasha data? Simu yangu ni Tecno Spak 4 huwa inapata sana moto nikiwasha tu data.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar wana jamii forum hope mpo poa mm ni mwajiriwa kwenye kampuni X najihusisha na Tender na kwa sasa nimekuwa na shughuli nyingi mno lakin kamwe sijawah kuwaza kuacha mambo ya tenser japo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii naamini ni settings tu Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu Aina ya simu Redmi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nadhan kwa upande wa internet huu ndo mtandao wa ovyo zaidi hapa nchini, speed yake ni ndogo mno, ila wana vifurushi vya maana hasa. Wanakupa bando la kutosha then network utajua mwenyewe kwa...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
FOR almost 70 years Sony has been the poster boy of electronics. It rocked the world with its Walkman and turned everyone on to TV with its Trinitron sets. It’s amassed a fortune and is proud of a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nadhan kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, Nataka kujua kati ya hizo simu mbili ipi simu kali kuanzia kwenye utunzaji wa moto na specification zake Kuna samsung m51 nimeiona nimeona...
1 Reactions
26 Replies
11K Views
Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya...
6 Reactions
74 Replies
7K Views
Maujanja ya kuondoa Write Protection kwenye flash au memory card Neno write protection sio ngeni kulisikia ila kama bado basi ni hile hali ya flash / memory card kuweza kuwa protect na hivyo...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa kweli napenda sana editing na picha kali ila maufundi sina. Nani anisaidie Application kali za kuedit picha. Lakini nahitaji Free Application za iPhone
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Poleni na majukumu ndugu zanguni.By nature natumia iphone ila kama tunavojua changamoto za (IOS) baadhi ya apps mpaka uweke keshi. Naomba wale wakali wa apps free za iphone mnisaidie apps kali na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom