Wakuu habarini za majukumu,
Juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo.
Hata...
Habari zenu wakuu, recently nimeanzisha huduma hii kusaidia wenzangu ambao hua tunajishughulisha na kazi za mitandaoni kuweza kutoa pesa wanazozipata kutoka paypal. Maana tunajua kuna restrictions...
Wakuu jee naweza kutumia kioo cha simu nyingine kuweka katika simu yangu
Mfano unatumia infinix simu yako ikaharibika kioo ukakosa cha infinix lakini kuna vya tecno, samsung au vivo ambavyo vina...
Asee habari humu!? Hamjambo wote,
Niende kwenye mlengo wangu moja kwa moja kuna inshu imetokea kwenye zile za kupata vitu free, kwa watu zimeloga, ila najua kwa kuna watu bado wana ujuzi humu...
Naomba kujua kuna siri gani ndani ya One plus 8 pro maana kwenye chat nyingi ana wakimbiza hawa Samsung kama hivi karibuni antutu ameto chat zao za simu zenye nguvu one plus 8pro imewaacha mbali...
Wanajamvi naomba mnisaidie kitu ambacho naweza nkatumia kutoa simcard kwenye simu yangu kwa sabab ile pin ya kutolea nmeipoteza kwaiy naomba kufaham kam kuna alternative ya hiyo pin au kama huwa...
Salaam Wadau,
Nimesikia fununu kuwa Apple wameachia Security Update kwa ajili ya Vifaa vyao vya zamani. Mfano simu ya 5s, Ipad 2 nk.
Kuna yeyote mwenye hizi news?
cc: Chief-Mkwawa
Unapenda kufahamu umri wa simu yako
kama umenunua simu kwa mtu au dukani sio mbaya ukajua umri wa simu yako ili kuipa ufanisi zaidi katika ufanyaji wake kazi njia zinakuwa tofauti kutoka...
Wakuu habari,kuna motor wa mashine ya kusaga nyama hapa,huu motor una capacitor mbili ya startup ina 100microfarad na wa run-up una 20 microfarad.
Tatizo la motor ni kwamba ukiwasha unazunguka...
Kama kichwa kinavyojieleza nimejikuta nafuta text muhimu sana kutoka CRDB naomba mwenye uelewa nawezaje kuwafanya wanirudishie ni sms ya kawaida kupitia no ya simu
Nina Laptop Dell imepata shida ya kuchaji Battery.
Yaani nikiweka Battery peke yake inawaka vizuri bila ya shida lakini nikiweka charger yake ili ichaji moto hauingii.
Nikitoa Battery na kutumia...
Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na...
Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa...
Hii simu naitumia ni miezi mitano sasa sijawahi hata kuidondosha ukiiona kama mpya kabisa ila imeanza kuwa na tatizo la kutach ukibonyeza mbili inabonyeza tatu
Ukislide kwa juu inaslide kwa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.