Nahitaji laptop used aina kati ya hp, dell, lenovo na toshiba yenye hard disk kuanzia gb250 kwenda juu,,, ofa yangu ni sh 250,000 napatikana kwa namba 0779575664 nipo dsm
Nimejaribu ku delete app baadhi na nyingine nimezi desable na video nimefuta na picha nyingine nimehamishia kwenye memory card lakini kila nikiaptdate inaniambia device imejaa bado.je?ku a madhara...
Last Update: 08.05.2016
WASTANI WA MUDA UTAKAO SUBIRI ILI KUPATA UNLOCK CODES ZA SIMU YAKO
LG: 51 minutes
ZTE: 55 minutes
Blackberry: 6 minutes
Huawei: 4 days TO 9 Days
Samsung: 17 hours 32...
Msaada jamani naomba kuuliza battery la tecno f1 linakaa na charge kwa muda gani na ni bei gani? Maana naona battery langu Linakaa masaa mawili na nusu kutoka manne niliyozoea
Leo katika kuchezea chezea simu nimekutana na mitandao ya kujuana, kuwa marafiki, kupeana kampani na hata kutafuta wapenzi.
Sasa nmeingiza app inaitwa badoo, tagged na tinder zote naona bila...
Kila ninapochomeka kwenye Computer inaniandikia FORMART DEVICE, Ndani yake nimeweka vitu vyangu vya muhimu sana na sitaki kui-Format. Naomba msaada ili nisipoteze vitu vyangu vya muhimu.
You just say that you can’t solve the problem. If somebody asks me to find an element in an unordered list with less than O(n)O(n) complexity, I’ll just tell them “sorry, this problem cannot be...
Don't worry, you can return all your files!
All your files like pictures, databases, documents and other important are encrypted with strongest encryption and unique key.
The only method of...
Habari wana JF, msaada tafadhali kwa yoyote anafahamu App ambayo inaweza fanya live speech translation mfano kama kiongozi anazungumza yenyewe inakua inaonesha maneno yanayosemwa kama...
Jamani wa Tz tunashindwa nini, maana nimepitapita katika blog nying za waind wanaonyesha mins wanavyotumia freebasics.com app kupeluz website mbalimbali kwa kuihack na kuchange proxy and VPN...
Habari wana jf!
Nimekua nikitumia kitabu cha deteil cha java nimekipenda sana hasa kwenye kujifunza! Sasa kama kuna mwenye kitabu cha PHP kizuri tafadhali naomba anisaidie.
Kabla hujafanya uwamuzi wa kununua laptop yako mpya kwa ajili ya matumizi yako ya Graphic designing, Architecture, au Content Creation yafahamu haya.
NI MUHIMU!
• Category hii ya watu wa aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.