Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Je! Kuna mtu yeyote hapa ametumia zana ya Samsung (toleo la Windows) kufungua vifaa vyovyote vya Samsung? Hivi majuzi nilipakua programu hii kwa kompyuta yangu. Lakini siwezi kusakinisha hii...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapa tutakuwa tunajadili maujanja ya FTA TV channels,nini kimetoka nini kimeingia katika ulimwengu wa fta tvs/radio.This thread aims at helping people especially from areas other than...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumetokea shambulizi la kimtandao ambalo limezilenga data za makampuni yaliovumbua chanjo ya virusi vya corona, Pfizer na BioNtech, likiwa ni sehemu ya uhalifu wa kimtandao ambao unayoyalenga...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hii simu inaniumiza kichwa nimejitahidi kuitafutia ufumbuzi wa hili tatizo lakini bado sijaweza kufanikiwa Ina CPU ya Qualicomm nimejaribu kutumia NCK but nothing changed Kama kuna mtu...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Wandugu na JF Experts Poleni na Majukumu mchaka mchaka ndo uo kila siku ni Kuhangaika...salamu kwenu nyote Okay ni Hivi Nauliza kuna Namna yoyote inaweza fanyika kwa simu iliyo ibiwa ikapatikana...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
With doubt Mpesa is technologica success story that has transformed the life of millions of unbanked populace. Yet to date Vodafone has kept its code under lock and key thus denying developers...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. NOT gate Ni kifaa cha kielectronics kitumikacho katika mifumo ya kidigitali ambacho hutoa matokeo kinyume na yale kinayo pokea. TAMBUA Kiwango cha umeme unao tumika kutengeneza...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarin wana jamii forum nina laptop yngu apa chaji yake sijui imepatwa na nn kile kitaa cha kijan hakiwak pia inatoa bipping sound hata nikiichomeka kwa laptop moto hauend nifanyaje wadau maana...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau Rejea somo hapo juu mwanzo radio nyingi zilitumiwa am na sw baadaye ikabadilika kuja mfumo wa FM sasa kitaalamu ni mfumo upi ambao ni bora zaidi kati ya mifumo hiyo hapo juu...
4 Reactions
42 Replies
12K Views
Nisaidie ndo nimenunua kingamuzi kipya inatoa hiyo sms nikitaka kuangalia channel. Naombeni msaada maana namba zote huduma kwa wateja haipokelewi
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari nina clip ya video nataka nibadilishe background music ni apps gani ya simu(android) inaweza fanya iyo kazi vizur pia isiwe na watermark ya iyo apps
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salama? Nilisafiri kwa muda wa wiki 3, kurudi nikajuta kifurushi cha tv kimekwisha (natumia azam ug) basi nikachukua waya wa dish nikachomeka kwenye tv direct, nika add satellite kama 2...
0 Reactions
10 Replies
727 Views
Kama kuna mtaalamu yeyote anaelewa jinsi system za mita za umeme zinavyofanya kazi anipe ujuzi.Mita hizo ni hizi za sasa hivi tunazozitumia majumbani kuingiza LUKU kama wenyewe mnavyoiita.Maana...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kama wewe ni mtumiaji wa Instagram na hukijui kitu kinaitwa "TWO FACTORS AUNTHETICATION" basi ni vizuri ukasoma hapa. Ni kitu ambacho kiko wazi kwamba Instagram ni moja ya mitandao ya kijamii...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu kuna jamaa ametangaza kuwa anauza laptop za mtumba picha hapo chini. Je, zinaweza kuwa na ubora? ..kwa wazoefu mnisaidie
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kampuni ya #Facebook Inc inaweza kulazimishwa kuuza mali zake ikiwemo #WhatsApp na #Instagram baada ya Tume ya Biashara ya #Marekani kufungua mashtaka dhidi ya kampuni hiyo ikisema ilitumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu wale tunaotumia mitambo ya Mobisol naomba tuelezane changamoto za hii mitambo ya solar. Mimi nina mwaka na nusu natumia mtambo wa 120 watts ila mahitaji hayaendani na maneno yao ya mwanzo...
4 Reactions
54 Replies
13K Views
Mtandao wa Whatsapp sasa kuwa na ujumbe unaotoweka, kipengele kilichoundwa kuwawezesha watumiaji kuondoa nyayo zao za kidijitali (Digital footprint). Sasisho hilo ambalo limeanza kutoka Alhamis...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu Naomba kujuzwa kuhusu neno hili '35.black' Maana ukijaribu kucomment kwenye Insta na Facebook inagoma kama hiv [emoji116][emoji116][emoji116] picha below. Natanguliza...
2 Reactions
5 Replies
936 Views
Hi wana Jf mimi sio mzoefu sana na hizi Sound Bar nimekuja kwenu ili niweze kupatiwa kitu makini zaidi kati ya hizi hapa kampuni mbili ipi iko vizuri zaidi ili niweze kuweka sebuleni kwangu. Hii...
1 Reactions
12 Replies
37K Views
Back
Top Bottom