Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ukimute mtu WhatsApp, ni baada ya muda gani unaweza ona tena status yake?
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Nahitaj printer,preferably HP,ambayo wino wake unapatkana kirahis na cheap.Isiwe ndogo sana coz nataka kuitumia kwenye stationary,ila speed iwe ya kutosha na isiwe zle kubwa zenye function nyingi...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Natumaini mko salama kabisa, Ni muda sasa umepita tangu nipuuzie kwa mara ya kwanza hii dhana ya kwamba mtu anaweza kusoma messages za mtu mwingine bila yeye kujua (tena hata mkiwa mikoa...
3 Reactions
22 Replies
11K Views
ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wa JF tech habarini za asubuhi, bila kupoteza muda na kwa ufupi naomba kuaddress swala langu, e bhana ee kila nikiwasha data kwenye simu yangu inakuja hii notification "sign in to network"...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
habari za jioni wanajanvi. jamani mimi ni mhanga wa huu wizi wa magari unaoendelea jijini. yani katika miezi mitatu nimeshabomolewa gari yangu mara mbili na kuibiwa power window, head rest, side...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Nina simu zangu hapa samsung na oppo nataka nikatengeze hasa vioo. Ntapata wapi fundi mzuri? Nipo Dar.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello bosses! Hope mko poa Iko hiv Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? Naomba kusaidiwa hapa kidogo maana nimeshindwa, ipo hivi nime update Google play music ndo mara nyingi nilikuwa naskilizia music nikishapakua online, ila baada ya update...
0 Reactions
4 Replies
722 Views
Habari za muda huu wadau, Naomba mwenye kujua printer nzuri inayoweza kuprint labels (lebo) ndogondogo za kwenye bidhaa kama mafuta, ubuyu, unga wa lishe
3 Reactions
14 Replies
4K Views
fahamu jinsi ya kurudisha vitu vilivyofutika kwenye kompyuta simu sd card na nk kama ulikua unatafuta njia rahisi ya kufanya kuweza kurudisha vitu vilivyofutika kwenye simu kompyuta flash sd card...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Ni simu ambayo inakuja na HarmonyOS Inakuja kufanya mapinduzi ya OS duniani Let wait and see
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada tutani nashindwa kupost matangazo katika Instagram account yangu naletewa ujumbe huo hapo chini. Anayeweza kunisaidia kuirudisha katika hali yake ya kawaida tufanye biashara Call 0759212578
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenu Wanabodi wa Jamvi hili, Nimeleta uzi huu mahususi katika maswala ya teknolojia.Nije kwenye lengo la uzi huu, Wakuu mimi nilikuwa nataka kujuzwa je unaweza kutumia Playstation3 katika PC...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau. I hope mko okay kabisa. Well,nimetumia IDM kwa muda wa 30 days na zimeisha na wananitaka niweke SERIAL KEY naombeni msaada kwa hilo wandugu wa hili jukwaa pendwa la...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini. Mimi ni mwanachama wa hii social network kwa muda tokea 2011 ila sikuitumia sana nikatemana nayo maana sikuwa naelewa namna ya kutumia na Facebook ndio ilikuwa kila kitu Sasa nataka...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Nipo Bumbuli, Lushoto nimeangusha simu yangu kwenye gari ya Noah ilikuwa charge imezima kama mnavyojua Samsung S serieos chaji ni shida Naombeni ushauri na weza kuitrack kwa IMEI yake au kama...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za saa hii wakuu, Kuna baadhi ya application ambazo zinatumia internet ila hazihitaji data(MB kutoka kwa ISP) mfano Nala. Sasa swali langu jee behind the scene hawa jamaa wanaliwezeshaje...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Za Ausbuhi wana Jamii Niende kwenye swali moja kwa moja kuhusu zile CIU za kuongeza unit kwa mita za tanesco, iwe ya kupachika kwenye soketi au ya wireless Swali: Je, nini kitatokea pindi...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Moderm yangu ya K3772z huawei huwa haiji install yenyewe napochomeka kwenye pc mpya hadi nidownload kutoka external source. Sasa changamoto niliyo nayo ni moja, nimeshagoogle hadi nimekata tamaa...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Back
Top Bottom