King'amuzi changu kina Eutelsat 7B frequency, baada ya kuformat. Nasikia wamehamia Eutelsat sat 7C.
Kwahiyo nikisearch channel zinazokuja ni Bloomberg, Universal Tv na Imaan Tv.
Kwahiyo naomba...
Habari nataka nitaka ni install whatsapp kwenye pc maana sina smartphone kwa sasa. Sasa hii BlueStack naona inafanya PC kuwa nzito hatari . Kwa anaye fahamu software nyingine mbadala.
Asanteni
ITALIA: KAMPUNI YA APPLE YATOZWA FAINI YA TSH. BILIONI 27 KWA UPOTOSHAJI
Mamlaka nchini Italia imesema imeitoza Kampuni ya Apple faini ya Euro Milioni 10 (zaidi ya Tsh. Bilioni 27.8) kutokana na...
Download app ya Wasafi TV ikiwa na channel za kuonyesha Leagues mbalimbali duniani pamoja na channel za hapa nyumbani.
http://bit.ly/2USUjnW
-----
UPDATE
------
Tumefanya mabadiliko ya jina la...
Ingependeza tuwe na sehemu ambako unazikuta app za kitanzania kwa wingi. Maana sehemu kama playstore ni vurugu tupu. App za kila aina. Pia tukiwa na apps store yetu ni rahisi kuweka vitu kama...
Wadau naomba ufafanuzi.
Unakuta video ina 1300000 views iko no1 trending but pia kuna video ina 2M iko 2 trending ili linakuwaje wadau?
Trending video Tz kwa sasa inafanana na mfano niliotoa.
Naombeni mniboost jamani kwa ku-Click kwenye hii link ili niweze kupata mpunga kule AliExpress.
One click to get TZS 92,761.70 !#AliExpressbonus #BonusBuddies #AliExpressBlackFriday
Your bonus is...
Habarizenu wana Jf matumaini yangu muwazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye topic . Hivi karibuni nime 'create' blog yangu ya extension ya .blogspot ,baada ya kupitia mchakato wa kutosha...
Kuna wakati nawasiliana na mtu WhatsApp and tunataka kutrade vitu fulani lakini Nakuwa nakosa amani naye, natamani kama ningejua alipo ili akinizingua nimtimbie, sasa ndio nikaja hapa kuomba...
Nafikiri umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu ya programming, kwamba ni kitu gani, kinafanya nini na utawezaje kukifanya, siko hapa kukufundisha maana haiwezekani ila nitakueleza njia ambazo...
IJUE SIMU YA KWANZA ISIYO TUMIA WAYA(wireless).
Motorola ndo simu ya kwanza kutengenezwa isiyo tumia waya ukiachana na simu ya kwanza iliyo vumbuliwa na Alexander Graham Bell.
Motorola...
Siku chache zilizopita nilitaka kununua Program ya Adobe Photoshop CC 2020 (Subscription) kutoka kwenye tovuti ya adobe, lakini nilibonyeza button ya buy iliniletea ujumbe kwamba siwezi kununua...
Habari wakuu,
Nimepata tatizo ambalo kimsingi sio kubwa sana na pia sio dogo sana, ni la wastani. Lakini kwa wahusika ni jepesi sana, linaweza tumia dakika 1 kuwa solved.
Ipo hivi: Nina Gmail...
Wataalamu naomba kujua, Kama una YouTube Channel na Blog ambayo maudhui yake yanafanana na Channel. Je unatakiwa kusajili leseni mbili tofauti? au Ni leseni moja tu inajitosheleza?
Maana leseni...
Heri ya uzima ndugu zangu!!!
Naomba kujuzwa ni app gani ya computer naweza kutumia kucopy\kuhamisha mafile nikiwa nimeconnect USB kutoka kwenye simu na laptop. Nikafanikisha kucopy {from...
Nataka kununua Simu.
Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.
Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.
Nazingatia zaidi good camera na muonekano.
Update
Niliongeza pesa kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.