Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau hivi inawezekana kupata App ambayo ukiinstall kwenye frashi au external memory ukichomeka frash kwenye computer inacopy kila kilichomo automatic, kama ipo ya kununua au inayopatikana...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, nataka kuset simu yangu isome kasi ya internet kwa juu ya screen ( mfano 200kb/s) ila sioni option hiyo. Msaada tafadhali.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu habarini Naomba mtu anaeweza kunipa maelekezo jinsi ya kucheat hii game ya dream league ili niweze pata unlimited coin
1 Reactions
74 Replies
53K Views
Nimenunua S8 Plus used lakini, sasa nauliza ni sawa au nimeingia chaka? Maana nimejaribu kusoma mahali naambiwa mwisho wa S8 kupata update kutoka Samsung itakuwa May 2021. Watalaamu niambieni.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi au kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mnotumia whatsapp Mimi natumia tecno WX3, nina shida moja kuna mda statuses za watu zinafutika zote kwenye screen bila ku-view, yaani kuna kuwa hakuna Recent updates wala viewed updates...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Weka design katika mchoro au picha kisha tutaendelea. Mwisho wa siku kuna mtu atapata kitu fulani hapa. Kwanini nataka wewe ndio uweke design nataka nitumie muda mfupi website hii itakuwa ni...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni masada Samsung yangu s8 sm g950fd inagoma font nazodowload sijui tatizo nn naombeni masada. Inaniandikia Kama hapo kwenye pic
0 Reactions
1 Replies
452 Views
iPhone 12 Pro Max imepita kupitia upimaji wa DisplayMate na imepokea Daraja la Utendaji la Kuonyesha la A +. Pro max display yake ni OLED Super Retina XDR la simu limefanana au kuweka rekodi 11 za...
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Kwanza kabisa nataka kuijua interms of; 1. Safa zake 2. Utofauti wake ukilinganisha na simu nyingine za Samsung 3. Bei yake kwa sasa mpya na used 4. Betri 5. Uimara
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa nini hiki kitu kinakuwepo kwenye movie na hata baadhi ya nyimbo je uwezekano wa kuzifanya zisionekane upo
0 Reactions
9 Replies
674 Views
Naombeni ushauri wadau nahitaji simu yenye uwezo mkubwa. Iwe na Ram GB na internal memory angalau 128GB.
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wana jf habari zenu, naomba msaada wa akaunti zangu za biashara facebook na instagram zimefungwa . Akaunti ya facebook ads ina andika disbled na akaunti ya instagram ina andika no...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahan kwa anayejua kuinstall nexus na kufanyia setting zake zote kwenye maana mm na ina nishinda kufanyia setting kama kuna mtu anajua naomba anisaidie step by step.
0 Reactions
0 Replies
769 Views
wakuu ndoto zangu ni kuwa mtaalam wa kuprogram shuguli za magari kama immobilizer ,kama key programing ,remot program, odometer colection, ( kurepair dash board cluster/kurudisha nyuma k/m)...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau mpoo habari za kitambo kidogo Leo mekuja hapa naona watu wengi wanapost thread kuhusu programming ila wengi wanishia njiani. Kwa hiyo kuna wengi wanopenda kujifunza wanaishia njiani hawajui...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, uzi huu ni kuomba ushauri juu ya matangazo kwenye App. Naomba kuuliza, hivi ni matangazo gani naweza kuweka kwenye Application yangu? Mimi najua AdMob na Facebook tu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Aje wajuvi, Lately I copped myself a Chromebook pro ile ya Samsung. ina 4gb ram 32 gb sdd na intel core m3 sasa ishu inakuja nataka kucheza games kwanza nataka kujua kama pubg, tekken na magame...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ni website gani naweza Ku download katuni za Tom and Jerry kwa MB chache? Ahsante.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom