Habari za pilika wana Jf, bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Kutokana na teknolojia kuongezeka kwenye Tv zetu hadi kufika 4k, 8k n.k lakini kila nikiweka hizi video za...
Programu ya YouTube Vanced husaidia watumiaji wa Android kutazama video za Youtube bila matangazo na pia hutoa huduma zingine za kulipwa za Youtube bila kuchaji.
Nilipata programu hii ya Android...
Leo sio Bugatti, Mclaren wala Koenigsegg , mambo this time yako tofauti na hii ni rekodi ya tangu mwaka 2018.
Devel Motors yenye makazi yake mjini Dubai waliachia huo mdude 2018 wenye top speed...
Simu yangu ni samsung s7 edge ipo ON ila mtu akinipigia naambiwa sipatikani na hata nikipiga simu haiiti inakata tu na nikicheck balance naambiwa UNABLE TO PROCESS THE REQUEST il mnara unasoma 4g...
Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa.
Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo.
Kwa wadau wanaoijua na KUITUMIA naomba maoni..Frametime...
Wakuu naombeni msaada wa kupata radio ambazo ni offline zisizo na kutumia bandoo
Kwenye smartphone zetu hizi.
Kwamba Niki install basi napata radio moja kwamoja anitumie hata kwenye telegram...
Kwa muda sasa nimekuwa ninaexperience tatizo la internet, muda mwingi network iko slow na saa nyingine kunakuwa hamna kabisa network. Imekuwa kero sana huwezi kabisa kuenjoy kusurf mtandaoni...
Kampuni ya HUAWEI imetangaza rasmi kuanza kutumia OS yao ya HarmonyOS 2.0 kwenye simu zao ifikapo 2021, hapo awali mfumo huo wa kuendesha simu ulitambulishwa kwenye vifaa vengine kama Saa, Tv na...
Habarini wakuu. Mimi ni kijana "age below 35". Napenda sana siku zijazo nije kuwa miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kuamrisha internet kufanya kile ninachotaka. Hizi 'Search engines' zote...
Habari wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumiaji wa mtandao wa twitter toka mwaka 2015 lakini mpaka sasa nimefanikiwa kuwa na followers 500+.
Kwa mujibu wa wadau, followers...
Introducing to you 6 best free wifi software, now these are free software and also have a paid version, used to install on your computer.
In this article, I will introduce to you the top 6 best...
Idadi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania imeongezeka kwa kasi na kufikia 4.5 Milioni. Idadi hii imegawanyika katika makundi makubwa mawili,Kundi la kwanza ni wale wanaotumia mitandao ya...
Habari wana Jf wakati naendelea na kazi zangu hapa pc yangu imecollapse ghafla ikanambia your pc run ito ploblem you need to restart ikajizima na kurestart yenyewe lakini ghafla tena ikacollapse...
Kama unatumia simu ya android kuanzia toleo la 9 pie, basi njia inakufaa. Huitaji ku root.
Jinsi ya kufanya
1.) Nenda Settings --> Connections --> More connection settings --> Private DNS
2.)...
Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kuna wakati simu zetu za smartphone zinakua slow pole pole kwa wakati Fulani mpaka [emoji34][emoji34] upelekea kuwa na hasira na simu yako japo umenunua mwenyewe ukulazimishwa [emoji16][emoji16]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.