Guys please help me with the software of satstar S9HD Combo which opens powervu keys and autorolls biss keys? I am using software dated 08/03/2018.
Please help me with the software which was...
wakuu simu yangu inatatizo kutoleta calls kwenye kioo yan utakuta natumia alafu hapo hapo mtu akinipigia hailet sehemu ya kupokelea ..bali itaendelea kuita tuu lkn kupokea huwez naomba mnisaidie...
Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa.
Hii Google Phone App ilikua maalum na...
Nilikuwa naangalia Apps za watanzania ambazo zina Install Milioni 1 au zaidi..kwenye Play Store
Nimezipata 2 tu
1. Millard Ayo
2. Kupatana
Nataka kujua kama kuna nyingine, unaweza ukaiweka hapa...
Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita.
Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na...
Wadau naombeni msaada jinsi ya kuondoa auto subscription ktk thread.
Yaani kwasasa nikichangia tu uzi inakua ni kero kwa notifications!! Ninakua subscribed ktk kila uzi nnaochangia nifanye nini...
Natumaini hamjambo,
Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box
Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi...
Wah..Nimenunua TV haijamaliza hata Mwaka , imedodonka kutoka mezani hivyo kioo kikacrack na hivyo huwezi kuon oicha kwani inaonyeshwa kunawino umevilia. je kunauwezekano wowote wakuirehekebisha...
Habari ,ninaomba msaada nina tatizo katika simu yangu aina ya tecno spark 4, tatizo lenyewe ni kwamba nikipigiwa au kupiga nikishapokea au niliempgia akishapokea basi screen ya simu inajizima...
Wakuu mnotumia whatsapp!
Mimi natumia tecno WX3 , Nina shida moja kuna mda statuses za watu zinafutika zote kwenye screen !bila ku view Yaani kuna kuwa hakuna Recent updates wala viewed updates...
Twitter imezindua huduma mpya ulimwenguni inayoitwa 'fleets': tweets ambazo hupotea baada ya saa 24, sawa na machapisho kwenye Snapchat na Instagram.
Twitter hapo awali ilitangaza mpango wake wa...
Habari za uzima wapendwa, natumai mko poa japo changamoto hazikosekani hiyo ni sehemu ya maisha.
Maada yangu inahusu changamoto ya WhatsApp,katika kutuma audio kwa mtu,, kuna audio ambazo...
Ahlaan Wasalaan Wapenzi Wa Jukwaa Hili, Bila Shaka Mtakuwa Mkoa Poa Na Mnaendelea Vizuri Na Majukumu Mbalimbali Ya Taifa.
Msaada Ambao Nilikuwa Nahitaji Ni Website Nitakayoweza Ku-Post Matangazo...
Wakuu habari,
Kuhusu hizi fingerprint za maofisini. Mwenye ujuzi atusaidie what happens kama mtu atakuwa anasign in tu kila siku ila hafanyi kusign out. Akija next day anasign in tu.
Wakuu,
Tokea jana nimekuwa nikijaribu tutorial za YouTube jinsi ya ku-bypass FRP katika Nokia 1.
Lakini kuna sehemu nafika ambayo yule wa kwenye tutorial inampeleka direct kwenye Google Chrome...
Nianze kwa kudeclare interest kuwa mimi ni mtumiaji wa siku nyingi wa simu za TECNO. Ifahamike kuwa uchaguzi huu unatokana tu na uwezo wa kifedha na hivyo sikaribishi hoja ya ubora wa simu...
Naomba msaada jaman kama kuna mzoefu wa hili tatizo
nimedownload rom ya pili lakini kaz ile ile mzigo unagoma kuflash
nimefanya hii issue kwa odin inagoma
nimefanya kwa miracle pia inagoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.