Wakuu samahan hivi vpn inaweza kuboost speed ya internet maana huku tz net za mitandao mingi ziko slow kama mnavojua maana nyie sio wageni wa nchi hii, najua watu wengi wanatumia vpn kwa ajili ya...
Wadau naombeni uhakika kwasababu kuna post nilisoma net wamesema "Toothpaste is also an excellent substitute for thermal paste"
Kwa anayejua naomba anithibitishie.
Yep yep kina jet li washaanza fanya mambo yao sio bado tunangaika na 4G wenzetu wanawaza yajayo.
Mzigo utakua tayari by 2030 kwasasa mzigo uko kwenye majaribio na juzi juzi hapa wametoka kurusha...
Unajua vita kuu ya pili ya dunia Warusi na Wamarekani walifanya wizi flani ambao mpaka sasa i can tell you ndio unawapa jeuri hawa washenzi.
Hilter ujueri wake ndio uliompoza ila kimsingi jamaa...
Wakuu habari,
Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.
Nimevutiwa na bei ya...
Habarini wana tech,
Nina laki 2 ninataka simu kati ya kampuni hizi; Tecno, Huawei, Oppo, Viwa.
Naomba mnitajie simu gani nzuri kwa bei yangu hiyo.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba mniambie ni kampuni gani ambayo wanazalisha vichwa bora vya USB charger na bei yake
NB: Hapo mwanzo nilikua natumia hii.
Haija chukua mda mrefu sana naona nikilinganisha na bei...
leo nimeona tuzungumzie kuhusu hizi memory card. mtu anapotaka kununua memory card huulizia brand name tu ipi nzuri wengine watajibu sandisk wengine watajibu kingstone ila kila mtu atajibu lake...
Wakuu mashindwa kuzilinda Documents zangu katika Google drive.
Kwa maana Account nlio tumia kuifadhia hizo data
Mtu yeyote anaweza kuingia kupitia hii simu yangu na hata kudow load.
Nivyo naomba...
Habari wakuu hivi mfumo wa hapa nchini wa sasa unaweza kuipata simu iliyoibiwa kama unavielelezo vya simu yako mf list imei namba. msaada tafadhari maana nimepiga voda nimeambiwa niende police ndo...
Wakuu mwenye kujua kutengeneza YouTube channel naomba anisaidie kwa maelezo ya kina jinsi ya kutengeneza maana Mimi nimejaribu kila njia nimekwama.
Au Kama kuna mtu anaweza kunitengenezea ni...
Simu yangu hii A10s ilinunua used kwa mtu ila sauti yake iko chini saaana ninaweza kubadili speker ikawa poa au tatizo nn mbona sm zngne A10s zinatoa saut vzur tuu
Wakuu naomba kujua iwapo nitatumia Vpn hzi zilizotajwa ni bora kama vike Nord vpn, express von Cyberghos nk
Ina weza kuongeza spidi ya internet yangu?
Kwa mfano Halotel wana kifurushi kinaitwa...
Wadau heri na iwe kwenu, naomba kuelekezwa settings za simu yangu kama kuna sehemu nimejilock maana nashindwa kusoma youtube comments, naambiwa a Restricted mode iko ON ila sijui pa kuizimia.
Kama kichwa kinavyojieleza wadau. Nimechomeka waya wa Sub-Woofer ambayo ilikuwa imewaka (2 in 1) kwenye pc aina ya hp, ghafla ikazima... na haijawaka tena hadi hivi sasa.
Nimejaribu kutoa betri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.