Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, nilikuwa na flash simu yangu then bahati mbaya pc ilitaka kuanguka so nilipoidaka simu ika chomoka na process iksimama sasa kila nikijaribu ku flash tena inakataa, simu hiwaki lakini ile...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu natumia simu aina ya samsung note9, ilikua inachaji fresh with dk 55 simu imejaa chaji yale ilikua fast charge...ghafla imezngua sasa hivi masaa matatu chaji iko asilimia 40. tatizo...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wataalamu Natumia windows desktop Windows Ten pro. Sasa naomba mnielekeze namna ya kutumia au ku enable CLI (Command Line Interface) Na pia jinsi ya ku disable GUI (Graphical User...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta laptop aina hp elite book 840 , corei 5, hdd 500gb, ram 4gb au kama kuna mtu mwenye hp kali itakayonishawishi aweke picha tufanye biashara location DSM
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Jiunge na Channel hii leo ufaidi movies na Series kede kede.... [emoji39] Kwa wale wenye akaunt za Telegram ndo wanauwezo wa kujoin na kupakua Movies [emoji327] kwenye Channel hio..kumbuka hilo...
1 Reactions
10 Replies
21K Views
Habari Natumia lg smart tv uhd651V lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona vijimstari kwa mbali kwenye screen hasa napokuwa naangalia mpira. Mwanzo nilidhan labda niscratches nikajaribu...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Mnajua kuwa twitter hii kitu ya ku tweet sauti sio?! Kama vile whatsapp voice note ilivyo ila yenyewe inapatikana tu pale unapotaka kutweet basi unaweza kurekodi sauti na uka pause au resume the...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Unajua unaweza kuamua muda unaotaka intaneti izime kwenye simu ? Katika ulimwengu wa sasa vifaa vya kidijiti vinatengezwa kuweza kufanya kazi mbalimbali ambazo hata bila ya mhusika kutumia nguvu...
1 Reactions
0 Replies
601 Views
Wakuu naomba msaada simu yangu hii Spark 5air kila ninapo touch ina toa sauti na pia haifanyi chochoteee na pia kama inaonesha box Kwa kila Napo touch. Inavyo onesha imejiseti katika mfumo Kwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Tarehe ya mwisho ya Septemba 15 inaonekana inazidi kutisha kwa Huawei - laini ya usambazaji ya kampuni hiyo itapungua pamoja na kukatwa kutoka kwa supplier wa chip wa TSMC. Reuters inaripoti...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Mafundi naomba Msaada wenu SIM yangu imezima yenyewe tu aina y'a Samsung not edge je nifanyeje
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Salaam wakuu, Kwa wale ambao wangependa kujivunia visenti kidogo kwa kusikiliza mziki tu kwa simu zao basi narecommend hii app inaitwa current. Kila unaposikiliza music radio station kwenye app...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wengi wetu hupenda kuangalia ama kudownload movies kwaajili ya matumizi au kujiburudihsa baadae tunapokua manyumbani mashikeni ama mahala popote tulivu basi ningependa kuwashirikisha kwenye...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Kwa Android users pekee, pakua Netflix kwenye hii link, ambayo iko modded (premium mod) na kukufanya uweze kuangalia free kabisa bila kulipia chochote. Thank me later Netflix MOD APK (Premium...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari ndugu wa JF, nataka nijue utofauti kati ya FAX na SMS. FAX ina nini cha ziada kuliko SMS maana yake naona kwenye address za Kampuni nyingi wanapenda kutumia hiyo Pia, nahitaji kujua...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Nilitaka kupiga picha pale kariakoo na camera yangu niipendayo. Kama mjuavyo hizi dslr ni kubwa ukilinganisha na simu, sometime naweza ficha simu kwa namna fulani ili nipige picha sehemu bila...
1 Reactions
5 Replies
767 Views
Habati nimesahau previously email na number niliyofungulia je na wezaje kufix hii tatzo maana inanidai
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Makampuni ya simu yanashindana kwa kubuni camera zenye uwezo mkubwa kila siku, lakini wakati mwingine kila simu ina uzuri na ubaya kwa namna yake, Kwa wajuzi wabobezi wa mambo ya simu, mje na...
3 Reactions
129 Replies
38K Views
Poleni na Majukumu jamani. PC yangu leo asubh niliizima kuja kuiwasha Fan inazunguka ila Kioo aki Display chochote wala kuleta Logo ya Dell ila Fan inazunguka. Ila nimeifungua kugusa processor ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Naulizia kama Samsung wana huduma hiyo Yaani unapeleka simu ya Samsung yenye tatizo na kiasi fulani cha fedha halafu unapewa simu nyingine Je, Samsung wana huduma hiyo? Kama Ipo vigezo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom