Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jana aisee nimeingia kwenye balaa zito la kupatwa na kirusi [emoji17] sikutumwa Ila kujikuta napenda Sana kudownload na kushinda Sana online aisee yamenikuta nikaamua niwape hii elimu nanyi muwe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
King’amuzi changu cha azam kimeingiliwa na maji kikazima..ushauri nifanyeje au ndo kimeshakufa..?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtandao wa kijamii na mawasiliano WhatsApp umefanya maboresho katika mfumo wa uhifadhi na nafasi 'Storage' kwa kurahisisha namna ya upatikanaji wa data/mafaili (Picha, Gifs, Video na Stika)...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habarini za weekend! Samahani nimefanya installation ya UBUNTU na kuondoa wibdow 10 ila mafaili yangu yakiopo kwenye window 10 siyaoni, pia nimeshindwa kufanya partition katika UBUNTU...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukitaka kufungua paypal inabidi ufuate njia hizi 1. visit website ya paypal Nenda http://paypal.com ukifika utaregister acount na kila kitu i hope haitakushinda. Hakikisha unatumia email ya...
20 Reactions
61 Replies
15K Views
Mara nyingi uwa naweza kuwa nafanya kazi nikasahau kusave nijikuta mara softare imefreeze, nimepoteza kazi kubwa niliyokuwa nimefanya. Ila mara kibao nikiwa nafanya kazi na wenzetu mara nyingi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu mko njema?, Kuna ambaye anaweza kurecover Instagram account ambayo iko active lakini email imehakiwa?!.
1 Reactions
3 Replies
842 Views
Habari wandugu, Naomba kuuliza kwa waelewa wa mambo jinsi ya kuondoa activation lock (Icloud unlock) kwa apple devices i.e iphone, ipod, ipad, apple watch etc. Pia isiwe bypass/jailbreak. Yaani...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Nimeona review simu hizi mpya za iPhone 12 kuwa hata ukichukua kioo ukakibadiisha ukakiweka kwenye simu nyingine kama hiyo hiyo, kwanza ukiiwasha haitowaka unless uiwashe kwa kuplug in charger...
13 Reactions
201 Replies
14K Views
Wasalaam, Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah! Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao...
95 Reactions
266 Replies
22K Views
Wale wanao pata shida ya Internet mnashauriwa ku download proton VPN then una install na una opt sehemu ya free make kuna kulipia. Fanyeni hivyo CCM walisha slow down internet
39 Reactions
244 Replies
35K Views
Wakuu habari za Jumapili! Naombeni msaada wenu pc yangu niliifungua kwa ajili ya kuisafisha, baada ya kuifunga kila ninapoiwasha inatoa ujumbe YOUR PC RAN INTO A PROBLEM AND NEEDS TO RESTART...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana jf naomba mnielekeze nawezaje kuifuta google akaunt ktk cm yangu.
1 Reactions
13 Replies
19K Views
Unafahamu VPN Bora ya Simu kuwa Nayo tunafahamu story ya mjini siku hizi Tanzania ni suala la VPN kwenye simu zetu za mkononi mtu Ana hamu ya kuwa nayo na kujua matumizi yake usijali...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Watalaam wa hizi app naomba kuuliza,ninapotaka kufungua app ambayo inabidi utumia mx player kwa mfano za kuangalia mechi za mpira inaleta ujumbe s/w decoder is not supported,sasa je kuna jinsi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza...
21 Reactions
240 Replies
114K Views
Habari zenu Wakuu Kama kichwa cha habari kinavosema,ningependa kujua kama ninaweza kupata remote control android app kwa ajili ya king'amuzi cha Star Times. Natanguliza Shukrani.
0 Reactions
39 Replies
15K Views
Wakuu ningependa kutoa ushauri wa kujifunza technology kutokana na dunia tuliyo nayo kwa sasa. Kwa mfano kipindi hiki Ni kigumu kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kwa Nchi ya Tanzania. Hivyo...
1 Reactions
3 Replies
682 Views
Wandugu naomba msaada hapo juu nitumie software gani ili kiweze kuplay
1 Reactions
5 Replies
747 Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza,naomba tuambiane kipengere kilichokuwa kigumu kwako wakati unajifunza programming language yoyote ile. Kwa upande wangu kutokana na research niliyofanya...
5 Reactions
88 Replies
8K Views
Back
Top Bottom