Wadau mimi nina tatizo moja. Tupo kwenye group la ukoo lina mambo mengi na watu wengi. Sometimes nakuwa busy sitaki kujihusisha na mambo yake. So huwa kama vipi nasoma tu text kama ni muhimu...
Habari zenu wadau?
Ni jinsi gani unaweza kuzuia mtu asiweze kudukua simu yako au aka ku track mienendo yako katika mitandao, yaani kama mtu anataka kuwa Ghost katika mitandao na katika simu yake...
wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana...
Habari zenu ndugu zangu.
Natarajia kufungua workshop kwa ajili ya wood, welding and aluminium works lakini kuna vitu nashindwa kudecide Kama vile brand ya machinery na what tools za kuanza nazo...
Habari,
Mwenye uzoefu na hii simu naomba kujua pros and cons zake.
Uzuri wake, changamoto yake, ukaaji wa chaji, camera nk
Nina 350,000 nataka nivute hii kitu.
Nakaribisha ushauri, hoja...
Lugha inayotumika katika Programming languages zote ni kiingereza. Je zipo sababu za msingi ya kupendelea kiingereza kuliko lugha nyengine yeyote? Kwanini kusiwepo kwa mfano java swahili,chinese...
Habari wakuu,
Ukiwa unafanya application katika website huku ukihitajika ku_upload some files na wakati huo website ikawa slow kulingana na kuwa overwhelmed na applications nyingi kutoka kwa watu...
VPN NI NINI?
VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na...
Nahitaji touch na kioo cha inchi 13.3 slim mkanda mdogo,
Hiii touch huwa inashikana na hiyo display yake hivo kama kuna mwenye nayo aina hii ya pc ambayo imekufa mothetboard yake kioo kizima na...
Kamati ya EISA imekagua simu janja ambazo zilizindua mwaka huu na kuzawadiwa bora zaidi kati yao - hapa ndio washindi.
The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi...
Habari
Kuna feature mpya katika facebook utafurahia
Nenda kwenye comment andika #ShareWithPride halafu tuma hio comment itageuka rangi na kua kama upinde wa mvua [emoji851][emoji848]
We nenda...
Wajumbe hebu tuelezane mapungufu ya vijana wetu
Ni kwamba mimi ni Mjenzi wa Ndege nina shahada katika Ujenzi aa Ndege na vifaa vinavyoruka hewani, nina Diploma of Success katika Maswala ya...
Simu yangu ni infinix note 5 inatumia line mbili, nimepata tatizo la kupoteza kwa network line ya halotel, Nina line mbili zote nikiweka network inakuja baada ya muda zinakata zote su inakuja moja...
Ndugu zangu naomba msaada wa kupata hiki kifaw adaptor ya Acer Laptop inaunganisha kati ya mothorboard na charger adaptor.kimekufa hakipeleki moto kwenye motherboard hivyo nahitaji kukibadilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.