Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Epuka kufanya mambo haya kwenye simu yako Habari , leo ningependa kushare nanyi kitu hiki muhimu kuhusu simu zetu tunafahamu simu zetu zinatumika katika shughuli nyingi tu za kujipatia kipato...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
Huawei Mate 40 Pro, Pro+ and RS unveiled with 5nm chipsets, amazing camera setups. Network : GSM / HSPA / LTE / 5G Display: 6.76 inches, 115.7 cm2 (~94.1% screen-to-body ratio) Chipset : Kirin...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu nina dhamira ya kuanza kujifunza kutengeneza simu both software and hardware.. Naombeni nijue wapi naweza anza.. Ajira zimekua kero sasa bora nizamie huku.. Asante! Sent using Jamii...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wakuu.. Naomba msaada wa hatua kwa hatua namna ya kudownload vitu mbalimbali kwenye torrent. nahitaji kuwa na vitu gani /au app gani kwenye pc na nini cha kufanya ili niweze kupakua vitu...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Am working on Holy Quran App by #FLUTTER Sio muumini mzuri wa dini na maudhui yake lakini naamini uwepo wa imani na mafundisho ya dini ndio unafanya hadi sasa tunaishi kwa amani So hii inaweza...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau, mimi nina simu yangu aina ya Samsung Gallaxy A30S. Matatizo langu siwezi ku access auto call recorde. Yaani siwezi kurekodi. Naomba msaada
1 Reactions
1 Replies
959 Views
Fahamu njia sahihi ya kuweza kuroot simu yako sasa .............?????? Are rooting apps properly root the phone? Habari natumai wote wazima leo napenda kuzungumza jqmbo kuhusu rooting baada ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau Naomba msaada Wenu juu ya Kampuni hii ya KIKUU TZ, nahitaji kununua. Kitu onliNe kupItia kikuu lkn kabla. Sijafanya hivyo naomba kujua kwa aliyewahi kuagiza kitu na Akafanikiwa, ki ukweli...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wataalamu wa haya mambo wanishauri ni ipi nikiiconnect na tv nita enjoy kati ya CPU ili nitumie Tv kama computer au tv box ili niitumie kama smart.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale wazee wa unlimited data wako wapi siku hzi... hivi vifurushi vya sasa sio rafiki embu njooni mtuokoe
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Anayejua jinsi ya kudownload kitu chochote kutoka kwenye torrent sites kwa kutumia Internet Download Manager anisaidie jamani. Sitaki kudownlod kwa kutumia Utorrent au Bitorrent.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu wengi tunapenda kufanya manunuzi ya vitu mtandaoni mfano Alibaba na Kikuu ila je tunapataje vitu 1:Njia gani salama za kutumia kuletewat mzigo 2:je anuani gani au utambulisho gani...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wakuu, kuna wengine hawata nielewa .kwa mlionielewa ebu tililiken apo chini mana sitembei kwa raha maden yamezidi uko sina mengi najua kuna majenerali wenzangu wa mitandaoni mnanielewa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau nilikua natumia Samsung Galaxy s4 mini black aisee hii simu naipenda saaana sema tatizo ni Android version yake iko outdate kako simple yaani ni nzuri sana. Sema nataka kununua simu pendwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi there!, Niko hapa kuomba msaada wa platforms za affiliate marketing ambazo zinaweza zikatumiwa na waTanzania nikimaanisha: 1. Swala la kujiunga lisiwe changamoto kubwa kwa waTanzania. (Maana...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Hello wakuu hakuna software ya kutumia mfano watu 1000 message kwa wakati mmoja kama IPO ya free itapendeza sana kama ilivyo manychat kwa fb messenger
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Apple siku zote ndiyo wamekua wakitoa muongozo wa design za smartphones zote duniani kuanzia muonekano wa kasha hadi camera na kioo. Sasa iphone wametoa toleo jipya la iphone 12 ambalo...
0 Reactions
79 Replies
10K Views
Kwanza kabisa bila kuboa tuanze na historia ya C++ ; C++ programming languagee ilitengenezwa (vumbuliwa) na Bjarne Stroustrup na timu yake ijulikanayo kama team bell maabara (at & t. USA)...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Kama barafu inauwezo huo inamaanisha nini? Je ni nyuzi za baridi kua kubwa mno? Kama barafu inaweza kuelea juu ya maji mda wote huo inamaanisha kua hata wewe unaweza kukaa au kufanya lolote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom