Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wataalamu wa teknolojia! Jamani nimedownloa VPN PROXYMASTER ili niweze kudownload app ya Spotify kwasababu huku nchini kwetu hatuwezi kudownload sasa nikiingia Appstore naambiwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavojieleza ipi ni VPN nzuri niweze kutamba twitter
0 Reactions
23 Replies
13K Views
Which of the Following method create new array object that look at the same data ? A) View B) Copy C) Paste D) none of the above
0 Reactions
3 Replies
601 Views
Ni App gani nzuri kwa ajili ya kupima eneo Offline pasipo kutumia internet
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu,unanufaika nini na Samsung yako tofauti na watumiaji wa simu tofauti? Changamoto kuu ya simu hizi kwangu ni storage yani daah, nachukia balaaa🤔🤔😂
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Wazee nakipengele hapa nilikuwa narusha kawaida window image kwenye flash ikawa inaingia haikufika mpaka mwisho ikawa imeji disconnect baada ya hapo mzee haiformatiki nishajaribu njia zote hata za...
0 Reactions
4 Replies
830 Views
Wakuu naomba msaada wenu Nime design website kwakutumia WYSIWYG website development kisha nikaipublish kwa kutumia FTP katika 000webhosting service ili iweze kupatikana mtandaon lakini baada ya...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
smart yako inajua kabisa eneo ulilopo kwa muda wote. hivyoo hivyoo kwenye app zako. Lakini kivipi na wanajuaje [emoji116][emoji116] soma sasa. Labda unafahamu kuwa vifaa vyako vinaweza kutoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba mnisaidie ni aina gani ya pikipiki ambayo ni imara kwa mazingira ya kila namna hasa vijijini, nahitaji kujua kabla ya kuingia madukani. Ni vyema kama mtanidokeza pia bei yake...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
It's a iPhone app found in cydia which lets you download latest Hollywood block buster movie for free.These movies are super clear not the pirated copies...u can also acess music and tv shows. The...
0 Reactions
1 Replies
695 Views
1. Hivi nikiwa na blog ya google na pale nitakapokuwa na tovuti yangu binafsi, ni wapi ambapo patanipatia zaidi hela kutokana na visitors watakaotembelea ukurasa wangu? 2. Naonaga wamiliki wa...
1 Reactions
4 Replies
701 Views
Wakuu naomba kuuliza je nikihifadhi picha na video zang kweny google drive itaweza kusaidia kupunguza nafasi ya kwny memory au kama kuna namna nyngn ili vitu vyangu visipotee na nafac iwepo kwenye...
1 Reactions
3 Replies
596 Views
Habari wana Jf najua wengi mnafahamu hizi Smart Tv na kama hujui nikueleweshe kwa ufupi kwamba ni Tv zilizotengenezwa kwa mfumo wa Android kama ilivyo smartphone yako ya mkononi. Kwenye hizi...
4 Reactions
97 Replies
10K Views
Wakuu nishaurini ninunue simu gani ambayo nitapata vitu hivi kwa bajet ya 350K 1. Chipset - Isiwe MTK 2. Battery - 5000MAH 3. Display - Super Amoled Natanguliza shukrani. Cc. CHIEF MKWAWA...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Nina laptop ya hivyo kuna mtu aliniuzia, mtoto kaipasua sasa ninahitaji kununua nyingine kama hiyo hiyo wapi ninaweza kuipata? Au nipate laptop nyingine inayokunjwa kama hiyo mfano wa spectre na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada Wadau, Haka ka gari kana tatizo la kutetema nikiwa nimesimama kwenye foleni au mataa au hata nikiwa nimesimama tu kawaida,,mlio unatoka kwenye injini na ukiweka gear position ya parking...
1 Reactions
26 Replies
16K Views
October 13, apple waliachia iphone 12series ambapo mpaka sasa iphone 12 sold out, manake ndani ya 24hours zaidi ya simu Million 2 zilikua ordered. Order hzo ni zaid ya mara mbili ya iphone 11...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
KAMA ULISHAWAHI KUKUTANA NA HILI TATIZO KILA UNAPO LOGIN NIAMBIE ULISOLVE VP? ASUBUHI NJEMA
1 Reactions
5 Replies
986 Views
Badili muonekano wa simu yako ya android kuwa iphone Naam badili muonekano wa simu yako kuwa iphone na kuweza kufurahia muonekano wake wa kipekee. Hivi utajisikiaje simu yako mfano tecno kuwa na...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Habaran wana jamii leo nimekuja hapa tujifunze jinsi ya kutengeneza GUI apps Naomben kujua ni application gan nzur kwa kudesign GUI Tayar nkmeshasoma programming language zote C.C++.PYTHON.java...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom