Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani naomba kwa mwenye uelewa anifahamishe, nawezaje kutumia line ya nje ya Tz, "omantel" to be specific hapa Tanzania?
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Habarini za muda, Naomba niende kwenye mada , naomba kufahamishwa bei ya hiki kifaa bouyer (water float switch)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari zenu naomba msaada kwa anae jua umeme wa bettri lolote la maji au kavu. Nahitaji kujua volt ngap inahitajika ili bettri liweze kukaa na chaji hata siku 3 ikiwa jumla ya matumizi ya...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kupunguza ukubwa wa file,nimeandaa CV yangu lakini umegoma kutuma maana jamaa wanataka file size isizidi mb 5,,
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nina samsang A31 minara haisomi kabisaa ila kwenye SM ina onyesha Tigo na Artel? Nikipigiwa sipatikani??.. Nisaidieni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari.. (Kwa mwenye ujuzi na hili swala). Natumia iPhone 5SE iOS 14, Cellular haikubali ni Wi-Fi Only! Notifications sizioni hadi nikiingia kwenye app husika ndiyo zinatokea ila simu ukiilock...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau natUmia Tecno camon 12 na Microsoft surfaceGo laptop device mbili tofauti sasa nahitaji kuitumia ile icon ya cast iliyopo kwenye simu nimeambatanisha na picha, je nafanyaje ili niweze kuiona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kuelekezwa namna ya kutumia excel ya kwenye simu kwa mfano kuchora graph. Note: Mimi siyo mtaalamu wa computer ila ni mfuasi wa teknolojia so naelewa haraka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hadi kufikia robo ya pili ya mwaka 2020, watumiaji wa intaneti walikuwa milioni 27.1 kutoka milioni 26.8 robo ya kwanza mwaka huu. Intaneti hiyo hutumiwa zaidi na simu za janja. Hiyo inaongeza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Samsung zilizoandikwa jina la toleo kwa nyuma ni rufurished phone? Mfano hapo juu galaxy s8+ Chief-Mkwawa Bavaria mtz one kcamp Nafaka mkorinto na wengine karibuni mtoe experience zenu kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.Ninayo recorder yangu ya Kichina MPEG 4.Shida yake kubwa ni kwamba, ukishawasha mara nyingi inakwamia kwenye boot mpaka uwashe na kuzima weee,ndio...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Naam nataka kujua Ni wapi naweza nunua hizi software hapo dar Adobe illustrator Adobe Photoshop ArchCAD Au AUTOCAD CC@chiefmkwawa
0 Reactions
29 Replies
3K Views
wakui kwema, naomben msaada, baada ya kuupdate wins10 yangu version 2004 apps za windows zote hazifunguki kama photos, microsoft store. naomba kujua tatizo ni nini au solution maana nimegoogle...
0 Reactions
2 Replies
643 Views
Habarini wana body, nataka kununua tv, ila iwe inchi 43, napendelea sana kampuni ya LG au Samsung Changamoto inakuja kutofautisha Kati ya smart tv na tv ya kawaida, Naombeni kujuzwa smart tv...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Sifanyi kazi kwenye mtandao wa halotel lakini nimeguswa na hili baada ya juzi kuweka vocha Ya buku tano kwenye line ya mtandao fulani na nikasahau kujiunga. Nilikuwa napakua movie na kucheki video...
11 Reactions
24 Replies
10K Views
Jamani salama, nahitaji kufahamu ni App gani au program gani naweza install kwenye simu ili niweze disgn matangazo kama haya 👇
0 Reactions
2 Replies
740 Views
Habari wakuu, Naomba mnisaidie kutatua hili kama linatatulika. Nina simu yangu model ya zamani kidogo inagoma kupakua baadhi ya app naambiwa 'your device isn't compatible with this version'...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari great thinkers Kuna sehemu ninatakiwa kutoa maoni yangu kuhusu mapendekezo ya mfumo bora wa kihasibu kwa ajili ya travel agent company ambayo inanunua tour packages kutoka kwa other tour...
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Unaambiwa eti aisee ni ngumu kumeza Nilifeli phisics lakini msnicheke.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom