Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna kampuni nataka niingie nao mkataba wa kuwafanyia kazi ila sasa wanalipa kwa njia ambazo sina uhakika kama zinafanya kazi hapa bongo, njia zao ni 1. Paypal 2. Webmoney 3. Paxum 4. ePayments...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
aisee wakubwa zangu natafta mdhamini au mtu mwenye kazi yoyote maana sina mkopo afu ada ni kubwa kiasi ata nikiacha chuo io ada staipata nipo Bachelor in shipping and logistic management pale Dar...
0 Reactions
4 Replies
832 Views
Habarini JF, Nataka kuanzisha YouTube channel yangu itakayokua inadili na mambo ya Teknolojia . Nataka niwe nachambaua Teknolojia kama Marquis Brownie au Mr.Who the Boss anavofanya . Mtu yoyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natamani ku-test the difference kwenye hizi simu za kichina. Mimi ni mpenzi wa hizi display za Samsung za curved na amoled au oled screen. Sasa hizi brand za kichina zina-offer the same screen...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Mzigo ushatoka wa FIFA 2021 tayari upo sokoni Nina play station ila nimeiacha nyumbani kwajili ya watoto, kwa mwezi ujao nitakuwa na likizo ya kikazi ntasafiri kwenda kijijini (kuna umeme)...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kutokana na maendeleo ya kasi ya kitechnolojia karibia kila mtu sasa hivi anamiliki kifaa kinachoweza kufungua website kama vile simu, table, laptop na desktops. Internet imekuwa eneo kubwa zaidi...
21 Reactions
64 Replies
30K Views
Jaribuni hizi code zitakupatia channel kadhaa za bure; 650, 682, 714, 746, 778 Ingia Menu>System Settings>Search channel>Manual search ingiza mojawapo ya hizi code. Enjoy
2 Reactions
24 Replies
22K Views
Wakuu nahitaji kupata huduma ya VoIP hapa Tanzania maana nina simu ya grandstream gxp2140 na nahitaji kuiconect na Sip protocol. Tafadhali wenye uwelewa na mambo ya ICT nahitaji msaada
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habarini, Mimi ni mtumiaji mzuri wa Opera Browser, yaani huwa sina mtindo wa kupakua Apps kujaza kwenye simu. Kutokana na hilo leo kila nikijaribu kuingia kwenye internet web yoyote unakuja...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu, msaada kwa ambae amewahi kutumia Sony home theater Watt 300 vipi ubora wake wa sound na performance machaguo yangu ni kama mnovoona kwenye picha nikamate sony au hilo subwoofer...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu Wana Jf Naomba kusaidiwa na mtu yeyote mwenye uzoefu na hili Ipo hivi, nimewahi kusikia kuwa Kuna application Fulani inakusaidia kurekodi stock ,mauzo ,inakuonyesha faida KWA...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa Android hasa Samsung miaka mingi na napemda sana hizi high end devices zake. Ila Samsung ananiangusha kitu kimoja tu, Camera, 📷 yake sio nzuri sana kulinganisha na hata simu za...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa torrents na vingi nilijifunza humu humu mpaka kuusu maswala ya seeders niliyapata humu humu mwanzoni kabisa kwa network nilikuwa nadownload GB 14 tyu yhn kwa masaa...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Ndg zangu mimi nafanya cha kisomi lkn mimi sina elimu kubwa ya hiki ninachokiFanya, yote ni msaada toka jf, ombi langu leo nahitaji kujua nitafanyaje ikiwa nataka kuweka fomu ya kujiunga na shule...
1 Reactions
1 Replies
892 Views
Nashindwa kuinstall Microsoft office kwenye laptop yangu. kila nikijaribu inakuja na ujumbe wa "Something went wrong". Nimejaribu kila njia zinazoelekezwa YouTube na baadhi ya websites lakini...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Hivi naweza kupiga window 10 kwenye computer ambayo Ina Ram 512 Kama haiwezekani kwanini au inakubali kwanini ? Tujifunze Toa maoni hapaa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] Sent from my Infinix...
0 Reactions
4 Replies
769 Views
Habari wadau,naomba kujuzwa radio za mwanzo za FM usikivu na nguvu ni kubwa tofauti na ziliozoanzishwa hivi karibuni,je mitambo iko tofauti au sababu ni nini?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi naitwa derrick nipo dar naitaji kufungua account ya bussines YouTube ninaomba msaada kwa mwenye Kujua jinsi ya kufungua account ya bussines ya YouTube Asanteni sana Mungu awabariki. Sent...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari, Naomba kuuliza kama inawezekana ku badilisha screen cover ya Sony Bravia tv, Maana yangu ilifutwa kimakosa na kitambaa chenye unyevu ile screen cover ikawa imejikunja hivi na zaidi...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Back
Top Bottom