Laptop yangu nikiiwasha mara ya kwanza inawaka ila haioneshi chochote ni taa zake2 zinawaka ila ile ya kusomeka kwa Hdd haiwaki nashikilia button ya power kisha inazima nasubiri kama sekunde 30...
Habari wakuu, nataka badilisha simu kwa sasa. Nataka simu Android, yenye camera kali, ram ya kubwa nzuri na storage ya kutosha. Simu gani yanifaaaaa?
Isiwe tecno, huawei au infix. Ushauri. Wazee...
Nilivoinunua simu hii ilikuwa poa sana kwenye mtandao hasa nikitumia laini ya voda kama mnavojua ilivona kasi...
Lakini nina miezi minne nasumbuka sana na mtandao
1. Mtandao wa internet unaonesha...
Hii huduma ya kuuza domain sielewi sielewi jinsi inavyotolewa
maswali yangu
1. Ili uwe muuzaji wa domain unatakiwa kuwa na nini,hatua gani unapitia?
2. Hawa godady, maddog, servesfree walinunua...
Cooling fan haifanyi kazi kwa usahii, inatoa sauti ambayo imekuwa kero, tatizo hili limeanza juzi.
Nimejaribu kufanya mawasiliano na fundi ninayemuamini ila yuko busy.
So nimeona nije kwenu...
Msaada, kuna effect gani katika quality ya video itakayopatikana ukitumia Android TV box ya 4k (mfano mi box s 4k) na tv ambayo ina uwezo wa resolution ya Full HD.
Kumekuwa na muendelezo wa kupotea potea kwa internet tatizo liko wapi. Tunahitaji maelezo ya kina kwanini tupate shida. Internet ni biashara Sasa hivi.
Note 9 inatuma SMS kwa pamoja kama group mwisho watu 10, kwa kazi yangu nina watu wengi sana ninaotaka wawe wanataarifiwa. Inanilazimu kutuma 10/10 kila mara.
Naomba msaada wa namna nitaweza...
Naomba kujua ni kifaa gani kama ni betri au ups ambacho kinaweza kunisaidia kutumia laptop yangu kwa muda wa saa 24 pale umeme unapokuwa umekatika, kitu kama ups ila kiwe na uwezo huo wa kukaa saa 24.
Wakuu naomba kuuliza Jana nimefunga meter ya Maji baada ya kuchukua bomba toka kwa jirani yangu nyumba anaishi kijana tu sasa tumeamka asbh meter inasoma unit moja wakati jana tulichota ndoo mbili tu
Angalia picha, hiyo ni Band Mode option kwenye setting ya Engineer Mode ya simu za android , nataka kutick baadhi ya bands lakini siwezi kwakuwa zimelokiwa.
Je, kuna namna ya kuzifungua ili niweze...
salama wakuu
Natafuta fundi mzuri wa iPhone imezima ghafra yaani iliisha charge nikiwa kwenye mizunguko yangu,, niliporudi home nikaichaj aijawaka tena
Mimi ni Omary, fani yangu ni game development kwa sasa nimesha tenzeneza game nyingi likiwepo ujiji race hivi karibuni nitali upload on playstore. Sasa niulize jinsi ya kutengeneza game.
Habari ya jioni wanaJF.
Shida ya TV hii, nikiconnect kwenye umeme, inaonyesha kuwa iko power on, kisha inatokea Logo LG (kuonesha kama inataka kuwaka) halafu inakata.
Inabidi niiache kwa muda...
Wakuu habarini!
Binafsi nimekuwa mkereketwa sana kila nionapo nyaraka rasmi hususani ya serikali inapokuwa na maandishi haya kwa chini
" Scanned by CamScanner "
Huwa naona nyaraka hiyo...
Kwa sasa imekuwa ni rahisi kujua ukukuu wa gari kwa kuangalia namba za usajiri, ukiona namba AAA basi hiyo ni imetumika sana tofauti na ile yenye namba DDD, hata madalali wamekuwa wakimshawishi...
Habari!
Nahitaji PC kwa ajili ya kufanyia video editing. Hivyo nahitaji at least powerful PC kwa ajili ya hiyo tasks.
Ikiwa na RAM above 6 sawa.
SDD itapendeza ila HDD haidhurupia.
Processor ya...
Msaada Mwenzeni Nimetoka Kukopa Buku 10 kwa Jamaa Nije Ninunue Kifurushi cha Mwezi Azam Tv/King'amuzi
Nikapitia Kwenye App ya Azam Tv Max Nikijua Sawa. Toka Saa Moja Nasubiri Iunganishwe Nimchek...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.