Aseeh naimben msaada simu tecno camon 12
Mtu akipiga anaajulishwa kwamba namba ipo busy na huku unakuta missedcall tu yan nimejaribu mbinu nying ila naona nimefika ukomo wakubwa na wataalamu wa...
Inasemekana kwamba kwa sasa M-Pesa MasterCard inapoExpire hakuna tena kuiendeleza kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma, na hii ni baada ya kujaribu kuiendeleza Card yangu iliyoExpire baada ya mwezi...
Binafsi sijasomea mambo ya Sana'a hata kidogo ila napenda kufahamu vitu muhimu kama hivyo nimekuwa nikishindwa kutofautisha kati ya VFX na CGI na utendaji wake wa kazi embu tuelekezane kidogo kwa...
Je
kunatofauti gani ya matumizi ya remote ya
G voice
na
Remote ya kawaida?
Je na remote ya g voice naweza kuitumia kama remote ya kawaida?
Vp kuhusiana na ulaji wake wa bundle?
Je Kuna yeyote...
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekuja hapa kuna kitu na mimi naomba mnifahamishe maana naonaga ila siwez kutengeza. Unakuta mtu anakupa link labla ana kwambia download diamond ft david na pale...
Habar wakuu nahitaj msaada namana ya kubaypass FRP kwenye samaung A20 nmejarbu clips za youtube lkn imebuma anayejua kwa trick nyingne au tool yoyote ya window anisaidie
Habari wakuu,
Teknolojia ni bahari yenye kina kikubwa sana ambacho wengi wetu hatujawahi kukifikia. Leo hii tutajuzana jinsi ya kufuatilia au kutrack mahala (location) ulipo au mtu uliyepanga nae...
Tatizo ni nini hapa wakuu toka jana mchana network haisomi kwa sim yang inaandika emergence calls only msaada kwa anaejua
NB: nimeangalia imei za simu yangu.
zimebadilishwa sio kama za mwanzoni.
Wadau naomba msaada kwa wajuzi, wataalam, na wazoefu, kuna utofauti gani kati ya Hisense TV zitokazo China na Hisense tv zitokazo South Africa, nikimaanisha utofauti wa ubora, au ni brand tu...
Habarini, mara kadhaa nimeona kuna watu wanauliza vitu ambavyo tayari vimeshajadiliwa, sasa kumueleza kitu mtu unakosa apetite ya kuandika hivyo inakuwa bora utag huo uzi ili kuokoa muda...
Wakuu ninamiliki iphone 7plus, miezi kadhaa nilipata update ya ya IOS 13. Ikaja na tatizo kuto ku preview front Camera kwenye Third party apps kama Vile Whatsaap, Zoom, Telegram, Instagram NK...
Wataalam msaada wa kuondoa rangi ya blue kwenye LG TV..Blue inazidi had picha inaonekana kwa shida.
Model 43LJ550V-TA
Software version 03.50.30
Serial no. 705EGFBL8203
Zifuatazo ni hatua jinsi ya kuhakiki kama kuna mtu ana dukua mawasiliano yako ya WhatsApp kupitia kipengele cha Whatsapp web kwa wenye simu yako.
Kwakuwa kipengele hicho kiliwekwa kwaajili ya...
Habari zenu wakuu!!
Leo ningependa kuwashirikisha baadhi ya vitu katika moja ya apps maarufu ya whatsApp ambavyo nadhani watu wengi hawafahamu.
Kama ni mtu ambae unajali usalama wa taarifa zako...
Habari wadau, naomba kujuzwa kwanini kumekuwepo na mfumo wa aina mbili kupata matangazo ya runinga yaani dish na antenna lengo lake ni nini ikiwa matangazo ni yale yale?
Na gharama zikoje...
Kindly let me go straight to the point,
Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information.
I feel like nachunguzwa
My concerns ni je kweli inawezekana?bila mtu...
Habarini wadau
Mimi ni kijana mwenye degree ya IT, nilikuwa nikifanya kazi kampuni ya wiafrica au cootel, sasa nimefukuzwa na ni mgonjwa nyumbani na kodi ya nyumba inanisubiri.
Na chanzo cha...
Nitaweka Link zipatazo 100 Uwe Fasta Tu Kujoin haraka kabla group halijajaa hii kwa bloggers ambao ni wavivu wa kushare fb au ambao wameshindwa kbca haya magroup ukipambana sana uwezi kosa $20 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.