Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wana jukwaa hili pendwa Naomba msaada wa jina la hii program katika App ya Famoco Asante
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Habarin Za Muda Huu Wadau Wote Hapa Jukwaani. Direct To The Point; Mimi Ni Mudau Mkubwa Wa Hizi Samsung Phones But Kwa Hili La Users Reviews Zinazotolewa Kwa Simu Hizi Samsung S20 Ultra Na Note...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Hello, kwa mwenye uzoefu atusaidie,,, nimejaribu kuweka page level ads au auto ads lakini kila nikiweka inakuja na error ya hivi,, The requested ad might not be shown to your users for the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wiki hii Apple imekuwa kampuni ya kwanza duniani kuwa na Thamani kubwa zaidi baada ya hisa zake kufika $2Trillion kwa market capitalization. Yaani kwa sasa Apple ina uwezo wa kuzinunua kampuni...
5 Reactions
104 Replies
10K Views
Habari wakuu, Ninaomba kwa mwenye kujua kama inawezekana kufanya Conference call ya watu 15 na kuendelea.Nimejaribu inaishia watu 5 tu, Msaada tafadhali.
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Wadau, nikitembelea miji ya Arusha, Moshi na Zanzibar naona watu wanalipia cable TV na wanapata channel kibao za maana tu, hata English Premier league unaipata kiulaini kwa TZS10,000 tu. Niliwahi...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Nimepoteza data zangu za muhimu zilizokuwa kwenye sd card ambazo siku back up... Camera default storage ilkuwa to SD card na vitu kibao kwa miezi kadhaa , baaadhi ya vitu nilimove from phone to...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu nasikia kuna application kwenye Simu za android ambayo ukiweka kwenye simu nyingine unapata sms zote anazotumiwa,sasa je! ni ipi hiyo na naipataje
0 Reactions
67 Replies
40K Views
Habari zenu. Naomba kwa yeyote mwenye computer games zifuatazo: >>>COD Modern Warfare Remastered >>>Battlefield V >>>Far cry V Ninashida nazo tunaweza kubadilishana kwa games nilizonazo. Mimi...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
AFTER Windows 3.11, all Windows were equipped with a database known as the Registry Editor. This editor is the most important and essential part of a computer. A computer performs all its...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Well it becomes sometimes hard to believe that I keep my system so neat and tidy and despite that on scanning my system from a website relatively unknown but quite helpful I come to know that the...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Here is a problem to solve, how gona you tackle it? There are seven classes of the package PhoneBookOscar as follows 1. Company.java 2. Contact.java 3. ContactExtended.java 4. Item.java 5...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Sijui ni nini huwa kinaikumba hii mitandao. Mwanzo wanakuwa vizuti sana lakini kadri siku zinavyosogea ndio na wao wanazidi kuwa hovyo. Kiufupi Tanzania internet bado sana. Sent using Jamii...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Habarini za leo wadau, Naomba kuwakaribisha hapa na kuwapa ajira endapo nitaridhika na namna ambavyo unaweza kufanya hivi vitu nitakavyouliza hapa. 1.Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa...
3 Reactions
55 Replies
38K Views
Wadau habari nahitaji kununua flash, kuna flash nimeiona madukani ina material ya chuma inaitwa TJ ambao mmewai kuzitumia zipoje kwenye ubora. Bei nimeambiwa elfu 25 ukubwa GB 32
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari za jioni wataalamu katika hili jukwaa Napenda kujifunza mambo ya Teknolojia kila siku,pia napenda kufahamu na kujifunza mobile maintanance ,ku frash simu na moderm. Je, naweza pata...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa TTCL SMS center inayotumika kwa ajili ya kutuma na kupokea SMS kutoka TTCL.
0 Reactions
2 Replies
12K Views
Najiuliza kwanini tusilete simu bora toka Ulaya kama Nokia ambayo mwaka 2007 nilinunua elfu sabini na ilikuwa inakaa na chaji wiki nzima na huku naitumia, ilitengenezwa nchini Hungary barani Ulaya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Laptop yangu ndani ya hizi siku 3 imekuwa slow sana yaani inafika mahali hata kutafuta file tu kwa kusearch ni kipengele kibaya nime update window tayari na inasema no action need sasa leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom