Habari za jioni,
Nina TV yangu ni star x 32 inch led tv shida yake inajizima kila baada ya dakika kumi mara ya kwanza nilijua ni sleeping timer nimekagua wapi.
Naombeni msaada
Nimenunua laptop aina ya Microsoft SurfaceGo nikashusha window na baadae ikawa inafanya kazi kama kawaida, nika shut down nikaitunza lkn baada ya muda nilipotaka kuitumia imegoma kabsa kuwaka...
Mada hapo juu, tangu kuhama kwa satellite ya eutelsat 7b kwenda 7c nimepoteza channel ya Trace Mziki na zote za nickelodeon, baby tv, mbc3 nk, msaada pliz
Ni kipindi kirefu sasa kila wakati napigiwa simu na UNKNOWN NUMBER Na ukipokea haongei kwa siku inaweza kupiga mara nne au tano kila siku hivyo kusababisha usumbufu usio wa lazima mwenye uelewa...
Wadau naomba msaada wenu juu ya laptop yangu aina ya microsoft surface go. Kwa bahati mbaya nilikuwa nabonyeza kuzima na kuwasha ndipo tatizo lilipoanzia ikaniletea maelezo ya bitlocker na ikawa...
Habarini za saizi wadau wa Jamii Forums. Nimepoteza simu ya Tecno Camon 11 leo, nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri ni nini hatua ya kwanza ya kuchukua kuanzia sasa na ni namna gani nitaweza...
Habari Ndugu zangu,
Bila shaka tumezoea kuwa kila jambo lina wa kulishughulikia yaani "kila mtu na kazi yake"
Lakini kuna kitu dharula ambapo unajikuta kuna vingine muda mwingine inabidi mtu...
Habari Vodacom,
Mimi nimejiunga hivi karibun kwenye Mpesa App. Napendekeza muweke option ya kuserve number za Luku, Maji, DSTV nk hii itamrahishia sana mteja kwa kuokoa muda na kuepuka makosa...
Naomba mnieleweshe app lahis yakutumia ku download nyimbo kwenye iPhone kama ilivyo kwenye simu za android watu wanatumia app kama snaptube, video oder nk sasa naona wenye uelewa mnisaidie ni app...
Wana JF,
Naomba kufahamu kuhusu ving'amuzi vya TING.
Nimesikia wana packages 2, unayolipia elfu 10 kwa mwezi na ya 25 kwa mwezi. Je, ni channels gani zinapatikana kwenya hizi packages, na...
Habari zenu humu Wakuu Msaada tafadhali kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimefungua ila sehemu kuirudisha pananishinda mpaka nataka kukasirika sijui nakosea wapi? 😞
Habarini wana jamvi, naomba kujua ni namna gani naweza kutatua tatizo hili la ku fail verification pindi napokuwa niki sign out kwenye iCloud[emoji846]
Habari za Asubuhi Wapwa?
Naombeni nilete kitu kwenu, mimi ni mtumiaji mzuri wa unofficial WhatsApp kama vile Yo WhatsApp , FM WhatsApp, GB WhatsApp , shida imekuja jana baada ya simu yangu kuwa...
Kamusi ya Kiingereza kwa kiswahili inapatikana play store.
Inaonesha pia namna ya kutamka maneno
https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.co.wadau.dictionary
Sent using Jamii Forums...
Katika vitu nilikua natamani siku zote ni night/dark mode kwa whatsapp.
Hatimae whatspp wamezindua huo mfumo kwa watumiaji wote wa whatsapp.
Huu ni mfumo unaopunguza au kuondoa kabisa mwanga...
Zaidi ya watu nusu bilioni Barani Afrika kwa sasa wamejiunga na huduma ya simu za mikononi, hatua ambayo si tu inawaunganisha bali pia inatoa fursa kwao kuweza kupata huduma nyingine kama vile...
Wanajamvi habari,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mimi ni IT professional nimeajiriwa taasisi binafsi ninae hitaji kusogea kwenye sayansi ya data kwa yeyote mzoefu alie katika kada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.