wakuu nilikuwa sijajaribu internet ya voda wajanja night, jana nilihitaji software flani na sikuwa na modem nikaona isiwe tabu, ni kainstall symtorrent kwenye simu yangu, nikajiunga wajanja night...
Mimi nimemaliza form six na sasa hivi nataka kusomea biomedical engineering ila sina ufahamu zaidi juu ya hiyo course na ajira zake kwahiyo mwenye ufahamu naomba anielekeze tafadhali
Habari Wananzengo, Sio siri hii ndiyo keyword inayolipa zaidi duniani kuanzia mwezi huu july. Aisee kama blog yako ikigusia contents za wanasheria wa marekani au hizo keeywords kwenye picha basi...
habar wakuu, bila shaka umu jukwaan kuna wajuvi wengi wa mambo, ivyo natumai nitapata jibu la swali langu, kwa yeyote anayefaham application nzur ya ku protect simu isiibiwe naomba anijuze jaman...
Habarini wana jukwaa pendwa la Tech ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
Naomba kwa anayefaham site ambayo naweza pata dataset ya Child Abuse ila kama pia ushawahi fanya na una data set...
Wakuu naomba mwenye ufaham wa hizi speakers anifafanuliehizi hazina kishimo[emoji115] .hizi zina kishimo.
Zote ni 50Watts,je zina utofauti wowote kwenye ufanyaji kazi wake?pia ni zipi bora...
Nimeapply sayansi ya shule ya msingi darasa LA tano kuona kama theory ya elimu yetu inafanya kazi,kwa kiwango maalumu cha usumaku kikiwekwa mbele ya vyombo hivi basi vitakapotaka kugongana...
Nimenunua hii Tv. Nimeona ina king'amuzi ndani sasa naomba maujanja yakutumia hicho king'amuzi . Natumia king'amuzi cha Azam. Je nikiongeza -LND- kwenye dish la Azam nitapata chanel za free au...
Wakuu habari,
Nina Laptop aina ya THTF, Model THTF-Tseries ni Laptop za Kichina bahati mbaya Battery yake iliingia maji haifanyi kazi.
Ni sehemu gani naweza pata Battery hii. Part namba ya...
If you want to be a programmer and you don't know which languages to study or to start with, worry out here is the list of the top programming language.
#7. C Programming
C program is a mother...
Jamani wanaJF naombeni mwenye kujua bei ya mini laptop used kwa Bongo au Mwanza aniambie. Isiwe ile ya internal memory na storage, bali nataka ambayo nawezafanya upgrade ya hard disk na rami...
Habari wakuu nina shida na simu, bajeti yangu ni lak 4 hadi 5 mwisho. Hivi kwa bajeti hii nipata simu gani nzur? Vitu ninavyotaka ni camera nzuri na uwezo wa simu(performance) CHIEF MKWAWA
Habari zenu wanajamvi, nauliza kipi bora kutumia adsense au revenuehits, au vyote vinaweza tumika pamoja
Naombeni msaada plz kwa mtu yeyoye mwenye ideas.
Naomba fact juu y hizi mbili
Kuna namna ya kuremove msg zote unazokuw umechart na mtu kweny messenger kwa mara moja,
zisionekane kwa upande wa mtu uliyekuw unachart naye.
naombenu muongozo.
asanteni.
Kwa anejua tu,
Nipo kijijini sana (chaka nasaka pesa shambani), mitandao ya simu inayopatikana ni Vodacom na Halotel. Network kwa ajili ya Voice call na SMS hazisumbui kabisa ila shida ipo kwenye...
Kwenye box naona hizi series made by samsung in vietnam, manufacture wa hizi battery za A series sijui ni nani but kipindi cha nyuma kulikuwa na mfumo wa mtu kutumia simu mbili sababu tach hazikai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.