Wadau naulizia wapi zinapatikana intermediate switch za 2 gan, 3gang na 4gang maana naona kama ni adimu sana kupatika. wanaojua mafundi wenzangu tunaweza kushare hapa.
Hii ni baadhi michoro inayoeleza ufanyaji kazi wa friji.
Haya wenye utaalam na mambo ya coooling system tupeni shule huku tukitafuta maelezo mengine.
Kwa nini kitu kinatwa...
Screen ya kompyuta yangu aina ya Dell Inspiron 5050 imekuwa kama imepata kreki na sijui nini kilitokea naomba msaada chakufanya.
Picha ya kwanza ikiwa imewashwa na pili ikiwa imezimwa
Jaman PC yangu ilikuwa inakwama kwama sada nikazima direct(kupitia batan) sasa nilipo washaa ikaniambia automatic repal ikazunguruka ikaja kioo cheus nikazima tena kuwasha mambo ndio hayo mzigo...
Habari wa Jf ,
TV yangu ni Smart lakini upande wa Wireless haifanyi kazi mpaka
SAMSUNG WIRELESS LAN ADAPTER au NETWORK CABLE
Ombi langu wapi naweza pata hiyo Samsung Wireless LAN Adapter
Habari zenu wakuu,
Computer yangu aina ya HP EliteBook, ghafla tu nikiwa naitumia ikaanza kuonyesha maandishi mara mbili mbili yaani kama simu vile ikiwa imekifa kioo.
Sasa nashangaa hili tatzo...
Kabla sijareset simu picha zangu zilikuwa zinaonekana kwenye google photo,lakin baada ya kureset sioni picha,msaada plz napataje picha zangu,ni za mhimi sana
Hizo n screenshot kutoka kwenye series inayoitwa HANNA season ya pili, episode ya 7
Hiyo simu ilionekana nikaiscreenshot kama hivyo. Sasa naomba kama kunamtu kwa huo muonekano anaweza kuitambua...
Kama kichwa kinavojieleza, nimeona watu wanaongelea brand tofauti tofauti kama TCL, Hisense, Boss, n.k. Hebu tuambizane hapa ukiachana na Samsung na LG Brand ipi inafuatia baada ya hao jamaa?
Shule pamoja na taasisi zingine za elimu zinaweza kupata na kutumia fursa ya kutuma taarifa kwa mamia au maelfu ya wazazi/walezi na wadau wengine wa elimu kwa wakati mmoja kwa sasa.
Zamani au kwa...
Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...
Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..
Jinsi ya...
Wakuu simu yangu ilikuwa inafanya edditing kila ni kiandika, mfano Grammer ilikuwa ina leta neno sahihi na hii ilikuwa ni kote kote iwe naandila sms ya kawaida, iwe ni whatsapp, facebook au hata...
Wakuu, habari yenu natumai mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya maisha ya kila siku.
Nimepata Windows 10 iso file then nikatengeneza USB bootable kwa kutumia Rufus (NTFS file,GPT partition)...
Adruino hiki kifaa kinapatikana wapi na kina kazi gani maana nimeingia YouTube nikakiona na nimetaka kukifahamu zaidi
Wanaokijua nisaidieni
.........asanteni..
Ajali nyingi zitokeazo watu wamekuwa wakipoteza maisha hasa ktk magari yenye bonet 'pua'Kama niliyoyataja hapo juu.sasa nini kifanyike kuepusha ajali?
Inabidi kati ya bonet na anapokaa dereva...
Kuna fursa kubwa sana yani pesa mingi ya duniani ipo katika sekta ya teknolojia. Fursa inazidi kukua kila siku but why jamaa zetu bongo hapa hawana mpunga yani kuunga unga kwingi.
Personally am...
Habari za wakati wakuu natumai mu wazima wa afya
Husika na kichwa cha habari apo juu leo nimepokea email kutoka Google kuhusiana na my activity za Mwezi agust.
Baada ya kuziona activities zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.