A Japanese company has announced the successful test drive of a flying car.
Sky Drive Inc. conducted the public demonstration on August 25, the company said in a news release, at the Toyota Test...
Habari zenu wa JF naamini hapa kuna vichwa vya ukweli mtanisaidia hili,
Mimi nina experia S natumia android
na ndugu yangu ana iphone 4s anatumia apple,tumekuwa na ubishi sana kila mmoja...
Wakuu naomba msaada jinsi ya kufuta meseji zoteee messenger
Iwe kama ndio nime download leo.
Kwakuwa ina meseji taka za yangu 2010.
Lakini sio ile njia ya kufuta kwa moja mojaa.
Au hata kama...
FDA to Review Fast-tracked COVID Vaccine by October as New Study Proves Microscopic Robots Invisible to Naked Eye Now Can Now be Injected into Blood Stream
Laser activated tiny microscopic...
Habari wanajukwaa
Simu hii japo ni mpya ila kwenye suala la fingerprint unaweza kuweka zaidi ya mara nne isitokea ikagoma muda mwingine inakubali ila muda mwingine inagoma. Hii ni tofauti na simu...
Wajumbe heshima yenu, tafadhali msaada kwenye tuta, maji ya betri ya solar yanapoisha, ni maji gani sahihi ya kuyaweka kama replacement ya maji ya mwanzo?
Je ni maji makali? Au maji baridi? Maana...
Messaging app, Telegram has launched one-on-one video calls for Android and iOS. The company announced the new development noting that 2020 had highlighted the need for face-to-face communication...
wakuu habari?
nimepata changamoto ya hii simu samsung c7pro inaleta ujumbe kuwa ina unyevu kwenye pot ya usb hadi imekataa kuchaji ikiwa imewashwa hadi izimwe.
nimejaribu kukausha na hewa ya moto...
Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana...
Wakuu nna ki tecno K7 natumia line ya Tigo karibia siku ya 6 leo watu wote wakinipigia wanaambiwa niko busy.. Na mimi siwez kuona hata missed call zao.. Ila naweza kupiga na kutuma msg.
Kupokea...
Habari na karibu,
Teknolojia ya simu imekua sana hasa kwa simu za mkononi (smartphone) au simu janja, lakini vipi umeshawahi kujiuliza ivi
ni simu gani nzuri zaidi duniani kote? najua watu wengi...
1.washa simu kisha washa data.
2.Bonyeza settings.
3.Bonyeza apps.
4.kisha zitakuja app nyingi ulizodownload,sasa anza na zile zenye mb nyingi kama WhatsApp, unaibonyeza
5.Bonyeza storage...
Habar zenu wakuu kuna simu hapa inasumbua sijajuwa naombeni msaada. Simu yenyewe ni Samsung Galaxy Tab A 2016
Simu hii tatzo linakuja pale napo washa data mnara ama network inashuka mara inapanda...
Naomba kujuzwa wadau PC yangu haina icon ya Bluetooth niliambiwa nijaribu Ku-update Bluetooth driver au kudowload bado haioneshi icon ya Bluetooth.
Nifanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.