Kampuni ya GOOGLE upande wa matangazo imesitisha malipo yake ya matangazo yanayopatikana kwenye application za simu (admob) na blog au website (AdSense), Google wamenitumia E-mail kufikia mapema...
Wakuu habari,
Nina flash disk yangu hapa TOSHIBA 16GB juzi kati nilimuazimisha rafiki yangu akapigie window.
Kwa bahati mbaya ilivyorudi kila nikiiweka kwenye PC inanambia
TO USE THIS DISK NEED...
Mambo vipi wadau,
kuna ka tv kangu kalianguka kakavunjika kioo,nlikuwa nauliza kama nitapata kioo saizi hiyo kwa kampuni hiyo na kwa bei gani pia,au kama vioo vinaingilianaga basi nichukue...
How to renew webstorm/phpstorm 30 days license on windows using EM's_JBrains_Hack_1.0.2.exe
download link
EM's_JBrains_Hack_1.0.2_Installer.exe
Go to Help -> Usage , to learn how to use the...
Habari zenu wakuu, natumaini mu wazima.
Kuna zoezi fulani nataka kulirahisisha excel
Ni kwamba nina sheet mbili, sheet ya pili ina list ya vitu navyotaka kuviweka kwenye sheet ya kwanza endapo...
Wana JF naomba kwa anayejua ku-connect internet njia ya wireless computer yangu inatumia window 10 nimejaribu kwa siku nyingi na sikufanikiwa ila kuna jamaa kajaribu nae kashindwa akawa ameniambia...
Wataalam naomba msaada wa mawazo, nimetengeza marksheet ya matokeo ya wanafunzi na nimefanikiwa kutengeneza report card ila changamoto ninayokumbana nayo report inaonekana ya mwanafunzi mmoja tu...
Habari wana jamii,
Nina jambo ningependa kujuzwa kuhusu hizi namba za kupiga simu za nchi tofauti tofauti.
Kwa wanaofahamu ukitaka kupiga simu nje ya nchi kama Marekani lazima uanze na +1 kisa...
Jamani nina shida na Account ya M-Pesa ni kama imexpire na ina hela, mwenye uelewa jinsi ya kuactivate ili irudi katika Hali yake anisaidia, nikiwapigia Voda kwa namba yao wanaongea kiingereza...
Naombeni kueleweshwa ni kwa namna gan AC ya gari inatumia mafuta.
Mfano nikiwa nimeweka gari on bila kuliwasha kabisa alafu nikawasha AC mafuta yanatumika?
Nilikua naomba kujua ni aina gani ya meseji ambazo ukimtumia mtu kwenye simu yake! Akisha isoma na kuifungua inafutika kwake? Miaka flani nilikua natumia kwenye kitochi changu! ila kwa sasa hivi...
Habari wakuu,
Natumia windows 10.Katika siku za usoni nimekuwa naletewa message kuwa windows 10 yangu imekaribia ku-expire na hivyo inabidi nifanye activation.Sasa sina product key.Je kuna namna...
Kwa lugha ya kitaalam tuayaita septic tank,. Huu mfumo hujumuisha septic tank na soakaway pit, hii septic tank ina sehemu ya kutolea maji ambapo yanakwenda moja kwa moja hadi kwenye soakway pit...
Ukimfuata inbox anakwambia umpe namba zako na namba za utakae kuangalia mawasiliano yake bila Kwanza yeye kukupa namba yake.
Hii maana yake NI nini?
Kama utafanya kosa la kumpa hizo namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.