Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa sasa hivi sio ajabu kabisa kwenda katika kampuni yenye watu zaidi ya 60 mfano ukakuta wanatumia programu ambazo hazina leseni , ambazo zina crack na vitu kama hivyo . Wakurugenzi wa kampuni...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Infinix hot 9 na Tecno camon 15 ni ipi simu nzuri kati ya hizo kuzingatia performance, camera, display na ugumu wa body zote ziwe na internal memory 64GB 4GB RAM. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
64 Replies
16K Views
Habari Wandugu kuna kipindi nilihangaika sana kutafuta adsense mwishowe nimeipata , nasasa naiuza Tsh 35000 kwa atakae ihitaji ani PM au anicheki whatsapp/sms/call 0786242562 ipo hio hio moja...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji kuaanza kutoa Lock za Simu haswa Tecno,Vodafone na Sumsung. Wakali wa hizi kazi msaada please. CHIEF MKWAWA
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakubwa kama nilivyoahidi kuwa sitokuwamchoyo wa material kwani mimi nina imani watu tunashindani kwa nini unajua bali si nini unacho,si unakumbuka maprof wa kibongo wana usemi tukimpa kila mtu...
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Wakuu, nimeona nipost hapa hitaji langu litazamwe kusaidiwa. Ninahitaji Antenna ya ndani ambayo naweza kufunga kwenye TV yangu na kutazama Local channels bila kutumia decoder yoyote. Nimepitia...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Nauliza jamani, kama document ipo in form of PDF naweza kufanya editing? Watalaam nisaidieni kijana wenu hapa
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Msaada mpesa mastercard inagoma kulipa Aliexpress, WE DO NOT ACCEPT THIS KIND OF CARD, tatizo ni nini maana ilikua inakubali hapo mwanzo.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina miaka takribani mitano humu JamiiForums na ni mdau mkubwa sana wa kwneye hizi pande za jukwaa la Tech, Mada nyingi zikianzishwa za kutengeneza mpunga online humu jukwaani watu wanaishia...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
Msaada wakuu jinsi ya kuset (multiple users) kwenye simu yangu nataka niset account Mbili moja kwa matumizi yangu na nyingine kwa ajili ya guest users natumia itel A32F
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za kwenu waungwana natumaini mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku ya kutafuta ubillionaire katika nyanja yetu pendwa ya Technology, sasa basi leo naomba nizungumze na software...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu na wataalamu naombeni msaada wa namna ya kuweka Password au pass code kwenye specific folders Ya Computer Ili niwe na private access na some of the folders kwangu tu.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba msaada, PC yangu ni Windows 10 Pro lakini kwa sasa inaniandia ujumbe unaosema this build will expire soon. Sijui chakufanya
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mola awe nanyi wapendwa! Nahisi nimedukuliwa mawasiliano yangu; msaada tafadhali mwenye uelewa mambo ya mtandao, nitaweza vipi kuijua namba inayonifuatilia mawasiliano yangu? Asanteni na usiku mwema
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Habarini, naomba msaada mwenye ujuzi na hili tatizo la simu yangu ni samsung note 2 ilianza kwa kuzima ikawa ukiwasha inaonyesha samsung tu halafu haiendelei nkapeleka kwa fundi ika-flashiwa...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Naomba msaada na ushauri namna na jinsi ya kutengeneza account Youtube mpaka kufikia hatua ya malipo hatua ya malipo. Mwenye ujuzi na utaalam huo naomba mawazo yenu na pia tuelekezane sote ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dah nimehuzunika sana hapa nimepigwa nyundo ya mbavu na clickbank pesa ya mzungu inanipita kushoto. Kwa sasa nataka nihamie huku affiliate nashuhudia kuna pesa nzito nzito sio hizo dola mia mia...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba kujua ni wapi naweza nunua domain ya website na nikaimiliki mwenyewe. Naitaji iwe ya .co.tz Mfano www.dawati.co.tz Nataka ninunue moja kwa moja bila kupitia kwa developer...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninaanza kwa kuuliza, Kama kuna mjuzi wa technology hii ya Python, basi naomba kujua namna ya kuhusisha django, library ya face-recognition na OpenCv library. Nimefanya web app inayofanya hivyo...
1 Reactions
4 Replies
950 Views
Asalaam Naomba msaada nawezaje ficha sms na calls au contact katika iphone maana kuna msala home, mama home kasanukia sms za sidecheek Msaada wadau
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Back
Top Bottom