KAMPUNI ya simu Nchini (TTCL) leo imezindua huduma mpya ya Bando na TTCL itakayomuwezesha mteja kufaidika na meseji bila kikomo ,kuperuzi intaneti na muda wa maongezi kwenda mitandao yote kwa...
Uza na nunua bidhaa yoyote kirahisi zaidi kwa kutumia WameShare.Com, jisajili kama Vendor na utaweza kuchapisha bidhaa zako na wateja wako watanunua moja kwa moja mtandaoni, pia kama wewe ni mteja...
Mamlaka katika Jimbo la Florida zimemkamata Graham Ivan Clark kama mtuhumiwa mkuu wa Udukuzi uliotokea kwa watu maarufu wakiwemo Barack Obama, Elon Musk, Bill Gates na Kanye West katika mtandao wa...
Ufaransa yaanza kuandaa “Jua linalotengenezwa na binadamu” linalotarajiwa kutoa umeme kote duniani mwaka 2035
Mradi wa Kimataifa wa Utafiti na Uhandisi wa Nyuklia ITER umeanza kuandaliwa rasmi...
Heshima yenu!! samahani Naomba kujua solution ya hili tatizo Kila nikijaribu kutuma pm unakuja ujumbe kuwa your content can not submitted this is likely because your content is spam like or...
Wakuu habari za saizi, naomba kufahamishwa yafuatayo kuhusu Data Roaming
1. Data roaming ni nini kwenye simu
2. Inafanya kazi gani
3. Unatumia wakati gani data roaming
Habari zenu wadau natumaini mko njema?
Ok kama niliposema hapo juu ni kuwa nina Account nimeiona na ilikuwa yangu ila kitambo sana na sijui ata nilifungulia namba ipi pia password yake nimesahau...
Dear wana Jamii Forums,
Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa Lock za iCloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye iCloud basi 7 kati ya hizo nilikuwa naweza kuzifungua...
Habarini wana jamii.
Baada ya kupata misukosuko kwenye kazi nikawa sikujipanga vizuri kimtaji nikageukia kwenye Carrier yangu ya zamani ya ublogger.
Nikanunua site na account yake ya...
Hivi kuna mtu aliyewahi kufungiwa akaunti yake ya Adsense (Adsense Disable) halafu akapewa option ya ku appeal na akafanikiwa kurudisha akaunti yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaams WanaJF wote na wageni pia.
Ninapata kigugumizi kuhusu 'Review' za hizi TV kuhusu ubora wake na matatizo.
Kuna Hawa Sony ambao wametamba kwenye soko Muda Mrefu, Kuna Samsung ambao...
Account yangu ya twitter imekuwa suspended for following so many people kwa wakati mmoja. It's about a month now I'm trying to get it back with no success. What should I do?
Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3.
Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha.
Na ikijiwasha inaandika tu...
Asalam alleykum wana JF,
Naomba kujua ni kweli kuna hii kitu mara naona sijui kupata hela online kwa kutumia bundle lako tu, mara sijui kupata vocha bure online
Mara sijui kupata 5GB za...
Ndugu wapendwa nawasalimu kwa majina makuu.
Waziri Mkuu ametoa maelekezo kuwa tufanye kampeni za kistaalabu zisizo beza, kashfu au tukana mtu au vitu vilivyofanywa na seriali.
Naomba wenye clip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.