Ndugu wanaJamiiForums heshima kwenu.
Nilinunua simu ya Sumsung Galax S8 ambayo ni hizi wanaita T-Mobile. Sasa simu ina line 2 lakini inatumia line moja kipart kingine cha kuweka simu hakisomi...
Habari wakuu!,
Niende kwenye mada moja kwa moja, mimi nahitaji mtu mwenye utaalam wa kutengeneza mobile smart phone application kwa Ios na Android.
Pia naomba msaada wa maelezo kuhusu vigezo na...
Je, una swali kuhusu mambo ya computer? ama Tehama kwa ujumla yani (Information Technology?).
Basi naomba nikukaribishe iwe maswali kuhusu printer, computer gani nzuri?, Naweza kufanyaje kwa...
Bazazi habari ya mda huu, bila kuchelewa niongelee suala hili muhimu kwa watu wangu makini sana. Tunatambua kuna ongezeko la social networks hasa playstore, appstore na kwenye web browser...
Habari wana JF, Kwa mara ya kwanza leo ni siku njema kwetu kwa kufunguliwa akaunti yetu baada ya kufungiwa kwa muda mrefu sana. Anyway tunashukuru uongozi wa JF na wafanyakazi wake kwa kufungua...
Wakuu Habari.
Nimeamuka na hangover zangu leo nikawa nafikiria jambo hapa ndo nikapata wazo kuwa kule JF si kuna wataalamu.
1. Ni hivi mitandao kama Voda, TTCL, Airtel inauza vifurushi hivi vya...
Naomba msaada wenu ningependa kununua smart fone mpya ila nimejikuta nashinda kuchakua ipi iliyo bora kati ya hizi
1. Nokia 2.3
2. Samsung A20s
2. Infinix hot 8
Nitashukuru saana msaada wenu...
Mkurugenzi Mtendaji wa Google, Sundar Pichai amesema Wafanyakazi wake takriban 200,000 wataendelea kufanya kazi wakiwa nyumbani hadi Julai 2021, ikiwa ni ongezeko la miezi 6 katika mpango wa awali...
Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.
Hii...
Habari za saizi ndugu zangu???
Nimetafakari nikaona ni jambo jema kuleta uzi kama kichwa kinavojieleza.Nivema wataalam wa maswala ya camera ikiwamo wapiga picha,mafundi kamera na wauzaji...
Halo kila mtu,
Kwa sasa ninatumia programu ya sinema ya bure ya sinema ya Cinema badala ya Netflix, lakini bado inaonyesha matangazo mengi na inasumbua uchezaji wangu wa sinema.
Ninawezaje...
Jamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA...
Naomba kufahamishwa namna ya kufanya ili kununua app kwenye simu. Mfano nataka kuapgrade truecaller lakn nikienda kwenye kulipia mfano kupitia tigo naambiwa error nikiwapigia opereta wa tigo...
Wakuu inawezekana ku-force app inayotumika katika katika Android version 4.4 itumike kwenye Android version 4.2.2?
Kama inawezekana naomba msaada tafadhali.
Habari waungwana, kuna changamoto ya kujirudia rudia kwa picha na ma file mengine katika simu hasa "Audio" na "Video".
Msaada :
1. Naomba kujuzwa ni kitu husababisha kujirudia rudia (Multiple)...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu JamiiForums.
Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Thanks to God the Almighty.
Kwanini TCRA hawahakiki ubora wa "Mobile Phone Apps"...
Samahani wanaJamiiForums nipo kitaa maeneo fulani jijini Dodoma. Kwa muda mrefu nimekuwa nikijishughulisha na upigaji picha kwa kutumia simu yangu na mpaka Sasa nimefikia hatua ya kutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.