Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama mnavyojua watoa huduma mbalimbali wanavyoendelea kuboresha biashara zao ili kuwavutia wateja, ambapo sasa naongelea virtual card zinazotusaidia kufanya manunuzi mtandaoni. Airtel Money...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Jaman naombeni mnisaidie namna ya kudownload window 10 mpka sasa bado nmereserve tu bt cjui namna ya kuipata
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau hapa tusaidiane kama una project yoyote kuhusu Electrical Engineering. Karibuni wadau wa JF
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Eid Mubarak jamiiya, Wakuu jana niliweka uzi wakuuliza hii kitu naona mods wakapita nao, Kwa mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia antenna hizi naomba atupe uzoefu wake hapa je ni nzuri zinasaidia...
0 Reactions
3 Replies
833 Views
Jamani rejeeni kichwa cha habari hapo juu,hivi unafanyaje kujua served password kwenye simu ya mtu mwingine,yaani ameugwa WIFI lakini aliyemuunga kaficha password huwezi ziona kwenye hiyo simu?
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari humu kumekuwa na uanzishwaji wa kitu kinachoitwa Silicon Dar Kwamba wamechukua jina la Silicon Valley, Califonia eneo maarufu kwa teknolojia wao wamekuja na Silicon Dar Eneo hilo la...
8 Reactions
166 Replies
15K Views
Natumia laptop nataka Apps nzur za kuandikia hadithi maana mimi naijua hii ya word tu
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu Nina hii device shida moja imetokea pen yake imeisha nguvu. Kuja kucheki kumbe Inatumia betri AAAA, Nilifikiri ni rahisi kuzipata lakini imekuwa ni changamoto. Nyingi zipo za AAA Tu. Mdau...
0 Reactions
7 Replies
967 Views
Kwa ambao hatuelewi chipset, hii ndio brain ya simu. Hiki ni kifaa kinachojumuisha vifaa vyote vya simu ama vinavyofanya simu ifanye kazi kama processor (or CPU), graphics processing unit (GPU)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamii na Skukuu ya Eid njema. Nimenunua Tv ya Samsung Smart tv used, nimeunganisha internet na simu yangu na imekubali vizuri tu na simu yangu ina Gb za kutosha za kuweza kuperuzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kichwa hapo kinavyo sema naomba tuasaidiane juu ya ps3 games mimi ninatatizo ps3 game yangu aioneshi magame yaliyo kuwa kwenye external disk ila nikiweka kwenye ps3 nyingine inaonesha ila...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Blogging Forex Affiliate marketing Freelancers, n.k Hata saa iliyoganda inaweza kuwa na msaada kama muda unaendana na pale ilipogandia lakini zaidi ya hapo ni hasara kubwa. Kumekuwa na wimbi la...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninawasalimka ndugu wajumbe. Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina simu ya mtumba nilinunua kama wiki tatu Sasa ila ina mtindo wa kupata joto nikiwasha data kidogo au nikiunga Hotspot na pc au hata niwasha baadhi ya apps. Cha ajabu naweza play...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Aisee nimekumbuka, kipindi tupo masomoni miaka kadhaa nyuma kuna jamaa walitupatia code fulani hivi nadhani ulikua unaanza http....na mbele kukawa na maneno kadha kisha unaweka kwnye link search...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikiipata ambayo itaweza kuniwekea beat kisha nikapandishia sauti ( vocal ) nitashukuru. DHUMUNI: Nataka niwe naitumia kwa mazoezi ya kuimba. CHIEF MKWAWA tia neno hapa mkuu Natanguliza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
IMEI NUMBER NI NINI? IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular...
16 Reactions
25 Replies
17K Views
Habarini wadau, nasikia kuna mashine ya kusafisha maji ya kawaida ili yafae kwa kunywa na mashine hizo ni kwa matumizi ya nyumbani, ntazipatia wapi?
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Wakulu, hii website ya TTCL siikamati kwa wiki nzima sasa, inakuwaje. Hebu nijuzeni, na kwenu ni proble hiyo au kwangu tu? Thanks.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom