Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wa maelekezo nimeongeza memory kwenye simu yangu lakini ajabu siwezi kudownload app. Memory inayoonekana ni internal storage tu.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari, Katika maisha yapo mengi kiasi mengine hatuyafahamu. Inafika hatua watu umaliza ungwe ya dunia wakiwa na asilimia nne '4' kwa wanayo yafahamu. Nikiwa katika Mwongo (Decade) ya pili ya...
31 Reactions
178 Replies
14K Views
Habari za muda huu wakuu! Nilikua nahitaji niongeze RAM kwenye PC ya HP Pavilion yenye 2GB Ram, sio mtalaam wasiwasi wangu je inaweza ongeza uchapaji kazi au itakua kazi bure?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Inawezekana unajua lakini kuna wasiojua pia. Chukulia umeona picha flani na ukataka jua utawezaje kuiverify imetoka wapi au aliyeipost kaipata wapi. Fuata hatua hizi then. 1. Download hiyo picha...
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Natumai hamjambo. Tangu jana usiku yaani network kwangu ni ya kutafuta kwa tochi. App na website zinaload dakika 5 kufunguka na muda mwingine zinagoma na kusema network error. Nikacheki bundle...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wakuu Leo nimekuja na wazo ambalo tunaweza kulibadili na likaleta matokeo mazuri ambayo yatakuwa na matunda basi kama wewe ni Web Designer au developer ni PM tuweze kuelekezana
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada wakuu naona ngoma imegoma inaishia hapo tu yaani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF, Msaada wenu nina laptop mbili HP Probook zote zinaleta kioo cheusi na fan inakimbia kwa speed sana wakati power button, wireless na caps key zina blink. Nimejaribu kubadili RAM...
0 Reactions
3 Replies
620 Views
Wakuu Wale Mablogers naomba mnifahamishe hii ads text file kwenye account ya Google ina madhara gani kwenye adsence
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Wakuu hii laptop inashida ya kuwaka Yaani uki press power button kitaa chake kinawaka but display haiwaki, sometimes inakubali kuwaka fresh tu Inapogoma kuonyesha kioo hata niki connect vga na...
0 Reactions
4 Replies
609 Views
Nimekuwa natumia simu za kamera zaidi ya moja ila kuifunika kwa mkono zingine inaonesha inayopiga ni kamera moja tu je kuna sehemu ya ku set?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi Nina simu yangu Samsung galaxy A20 Ina tatizo tajwa hapo juu. Kuna jamaa nilimpelekea Kariakoo anitatulie tatizo aliniweka town kutwa nzima jioni kanipa simu ipo fresh but baada...
0 Reactions
91 Replies
10K Views
Saturn V (five) ni roketi iliyojengwa na NASA kwa ajili ya kupeleka watu mwezini.Hii roketi ilikua na nguvu za sana na ya pekee iliyoweza kurushwa kwa mafanikio.Saturn V ilotumika na progamu ya...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nahitaji Motherboard ya laptop aina ya Acer Aspire V5 - 123. Iwe inafit kwenye specification zifuatazo CPU. AMD dual - core processor E1 - 2100 (1.0GHz) MEMORY. 2GB DDR 3 Memory, NB: V5 - 123...
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Muda umewadia na shughuli tayari imeanza na historia naandika sasa. Kwanza niliwahi kusema kuhusu picha ya planet Vesta kama inavyoonekana hapa Huo ni muonekano wa Planet Vesta kilima cha...
11 Reactions
88 Replies
7K Views
Jamani nimerudi tena maana mpaka sasa sijapata solution kuhusu laptop yangu maana tatizo ni kwamba nimeambiwa HD imekufa so inabidi nipate nyingine hilo sio tatizo zaidi baweza kununua nyingine...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
kuna mtu kaniuzia graphics card ila nikiweka kwangu inaonesha imedisplay ila ina andika. "This device is not working properly because Windows cannot load the drivers required for this device...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habarini wana JF natumai mu wazima. Mimi nimwanafunzi wa chuo cha ufundi (Electrical eng) Nipo hapa kuomba kama kuna mtu anajua sehemu wanapo fundisha ufundi simu au fundi simu yeyote anaeweza...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Huwa naangalia TV mfano Live kutoka Ikulu au tukio lolote linalohusu nchi basi labda lipo live mubashara mfano Channel Ten, nikabadirisha Stationi nikienda TV E ya Majizo nakuta tena Channel Ten...
0 Reactions
2 Replies
573 Views
Habarini wana jamvi, nina ndoto ya kurusha ndege ndogo nitakayoitengeneza mimi mwenyewe, kwa miaka 2 nimekusanya tutorial na mafunzo mbalimbali kupitia utube n.k kuhusu ndege, aina ya ndege ni...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom