Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
There is a growing chorus of people who blindly recommend Tor to anyone looking for online anonymity. This recommendation often ignores mountains of evidence suggesting that Tor is not the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari! Shida yangu naomba nisaidiwe Apps za Android na pc za kuingizia beat na sauti. Nataka nirekodi ngoma Sema Apps za musics hasa za Simu sizijui Msaada please kwa anayezijua au aliyewahi...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Bwana Awe nanyi, Awe pia nami Wakuu swali langu ni subwoofer kwa chini kuna sehemu za volume na chini kabisa kuna MIC 1 MIC 2 Sasa zina husika ni nini pale
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana teknolojia hamjambo? Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu kwema, Naomba msaada PC, yangu inajiswitch off wifi automatically nimegoogle njia mbalimbali ila bado hijakaa sawa. Mwenye ufahamu maomba anielekeze ufumbuzi wake.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Simu yangu imeacha kusoma simcards. Nikiweka kwenye simu zingine zinasomeka. Tatizo inaweza kuwa nini?
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Habara wanajamii, Kama habari inavyosomeka hapo juu, ninahitaji software ya TALLY ERP 9. yeyota alienayo ani PM tafadhali
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa App ambayo naweza itumia kuficha baadhi ya file kama vile Instagram, Whatsapp, Message, gallery
1 Reactions
1 Replies
715 Views
Wakuu, Kama kichwa cha habari kilivo, Ni kua samsung galaxy haisomi simcard ya voda ukiweka wanasema insert sim card / emergency calls only, lakini ukiweka halotel inasoma vizuri tatizo litakua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina shida ya computer, Windows 7 Pro Inaonyesha imejaa lakini siyaoni hayo mafaili ya kujaza 150 GB. Nawezaje kupata kitu kama listi ya mafaili yote yaliyomo kwenye computer, size yake na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MAMBO 5 YA KUSHANGAZA KWENYE SIMU YAKO android Do more with your smartphone [emoji4] Android ni mfumo wa nguvu Sana wa KUFANYA kazi ambao unaweza kutumiks kwa KUFANYA Mambo mengi zaidi ya...
21 Reactions
59 Replies
13K Views
Salaam wana jukwaa. Naomba nianze moja kwa moja bila kupoteza muda. Mimi ni mhitimu wa Chuo cha Kikatoliki Mwenge, Moshi katika Bachelor of Science With Education. Katika pita pita zangu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Simu yangu Ni Infinix smart4 Ila niki download game ya dream league ukicheza utakuta Ina stuck au game kuzima kabisa sijajua shida Ni Nini msaada jamani?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani msaada nimefuta videos, audios na photos kwenye simu kwa bahati mbaya. Ni vingi sana please namna gani ya kuvirudisha.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada jamani, Desktop yangu ina njia 2 za kuwekea RAM na mimi nimeweka RAM 2gb kila njia ila nina RAM zingne nahitaji kuongeza na hakuna njia ya kuweka. Je, kuna kifaa chochote kinachoweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Je unapenda Smartphone au Tablet yako ifanye kazi kwa spidi kama ya Usain Bolt? Je unajua nini cha kufanya? na je unajua kama wewe mwenyewe unaweza kuiongezea spidi Smartphone/Tablet yako? Hebu...
21 Reactions
79 Replies
10K Views
Kwa kawaida simu huwa yamoto wakati ikiwa inachajiwa ama inatumika kwa matumizi yanayotumia moto mwingi wa betri (mfano kuangalia videos, kucheza games, etc). Ila umoto wake huwa wa kawaida na sio...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni msaada Kwa wenye ujuzi namna ya kuweka verification kwenye Instagram Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Naitaji ufafanuzi wa simu ya Sony Xperia 10 ii. Date Released may 2020. Nimeipenda ila sijazielewa sifa zake kwa undani.
0 Reactions
2 Replies
742 Views
China has continued to shake the world with their back to back technological breakthroughs. Before now, it used to be the United States and Japan that occupy the top position in great inventions...
0 Reactions
1 Replies
457 Views
Back
Top Bottom