Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Je, umewahi kukutana na tatizo kama hili langu ninalopitia mimi wakati huu? Na kama umewahi ulitumia njia gani kutatua. Ipo hivi, mimi ni mtumiaji wa mtandao wa vodacom. Najiunga kifurushi cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa hizi kitu kama nilivyo sema nashindwa kusajili kwasababu ile app niki log in inakubali ila siwezi kufanya chochote kwasababu nikigusa nianze kazi inaganda tu hapo mpaka italeta kaujumbe...
0 Reactions
2 Replies
574 Views
Mtoto wangu anapenda sana kucheza games mbalimbali, indoor na outdoor. Hizi gta zingine anazo, sasa kila siku anajaribu kudownload gta 5 lkn hafanikiwi. Hivyo, kwa kifupi natafuta gta 5 mwenye...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu ni app gani inayoweza kufanya kazi kwenye simu kama tochi za traffic za kuangalia speed ya magari yanayotembea?yaani nikinyooshea simu yangu gari litembealo niweze kuona speed ya hiyo gari?
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari za Muda Huu WanaJF, Leo nimeona nishare kidogo hii App mpya ya GBinstagram kuna wengine mmekutana nayo lakini wengine nado Hii App ometengenezwa na Developer aliedesign App ya GBWhatsApp...
3 Reactions
47 Replies
11K Views
Pc yangu ni hp pressario CQ56 yenye processor ya pentium dual core T4500 WITH 2.30gh pia ram yake ni Gb 4. Nataka install Gta V, Je nitaweza kwa uwezo huo wa PC yangu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kui reset simu upya, ina demand ni scan QR CODE Wataalam natokaje hapa na katika kudadisi dadisi naambiwa QR CODE ipo nyuma ya simu, ndani kwenye betri, ila jinsi simu ilivyo au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba wataalam wa vitu hivi mnisaidie sabufa gani ni nzuri quality ina equilizer, base yani vile vitu vyote vizuri, niliwahi kuuliza humu sikupata majibu mazuri nimeenda kununua latech yani...
1 Reactions
26 Replies
15K Views
Wapendwa Katika Bwana Natumaini leo jumapili ipo njema kwenu, Swali langu lipo hivi, WI-FI ni mpaka umbali gani ukifika kama ulikuwa unaitumia inaacha kusoma kwenye internet ya simu yako...
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Hellow bosess I hope mpo poa, kutokanaa na maendeleo ya sayansi na technolojia duniani ncho za Africa kwa ujumla zipo nyuma kwenye swala la technolojia na ICT kwa ujumla japokuwa Programming...
4 Reactions
4 Replies
994 Views
kuna jamaa kaniuliza kuhusu software inayoweza kubadili video kuwa audio, huyu jamaa anajiita EINSTEIN112 kwa hiyo nimeona nifungue huu uzi hapa. Kwa kuwa kule kulikuwa na uzi unaohusu mambo...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka inayotumia hotspots sio data.. Kwa anaejua wakuu
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Wakuu nisaidieni ni app ipi naweza kutuma sms kwa watu bila kuonyesha sender number? mfano kama SMS zinazokujaga za NMB, VODACOM n.k Tuna SACCOS tumeianzisha sasa tunataka sms ziwe zinawafikia...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Salaam wakuu Husika na mada tajwa. Naomba msaada kwa hili. Nimehangaika tangu asubuhi na nime Google bila mafanikio mbaya zaidi nimeshaunga bundle kwaajili ya kutumia kwenye hii laptop Ahsante
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Naomba msaada nataka ni access Internet kwenye pc sasa nafeli,nikijaeibu kuzima airplane inagoma California love
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya Marekani kuituhumu Huawei kuwa ni tawi la jeshi la China na kuiongezea vikwazo, mambo yamezidi kuwa magumu kwa Huawei. Kuanzia mwakani Huawei hataweza kuzalisha chip zake za Krin...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
msaada wakuu ni processor gani nzuri ya i5 inayoweza kuran magemu makubwa kama gta 5 witcher 3 assassins creed 3
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, natumia Laptop Dell wifi yake ni menu ila kwa sasa haionyeshi Bluetooth kwenye screen na kila niki download haikai.
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Ndugu zangu habari, Refers to the heading above, jamani naombeni msaada Applications nzuri za kuficha picha, videos na SMS. Yote haya shida ni Mke wangu ni shushushu balaa. Asanteni.
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Nawezaje kumtofautisha Web Developer na Web Designer? JIBU KWA HOJA.
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom