Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari humu jamvin! Nina PC yangu Lenovo window 10 nikitaka kuweka program yeyote inakataa...inahitaji trusted programs Nitafanyaje na ninahitaji kuistall MS Office.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna spradsheets za google nazijaza zinahusiana na wasanii wa Africa. Sasa ninahitaji kuaccess their spotify pages naambiwa not available in your country. Kama kuna VPN extension nzuri naomba mtu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa watumiaji wa airtel ambao huwa mnapita youtube kuangalia videos. Je, huwa mnapata hili tatizo la baadhi ya video ukiplay ikifika sekunde kama ya 5 hivi inastop?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimeamua ku-skip google kidogo maana ni kitu sikutegemea. Nimeshindwa kupata emoji iliyovaa headphones. Nikashtuka kidogo. Naomba kuuliza kwa wenzangu kama nyie kwenu ipo? Uzi Tayari.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna hii kitu nimeipenda muonekano, kama kuna mtu ana experience nayo naomba anielekeze quality yake na bei pia. LG-LK72B SPEAKERS
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Habari zenu wadau, Naomba msaada wa kujuzwa kuhusu hii kitu Kwenye simu za iphone. Kwa sasa kumekua na matoleo ya iphone ambapo ni dual line ( laini mbili), lakini laini moja inakua ni eSim...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuifungua simu hii ili Nitumie laini za mitandao yote maana inaandika "insert uim card" Asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama mnavyojua tulikuwa tumezoea kuagiza mizigo kutoka China kupitia AliExpress lakini kutokana na Coronavirus kuathiri China kwa kiasi kikubwa na hivyo kuathiri safari za ndege kutoka huko, sasa...
3 Reactions
84 Replies
9K Views
My computer has a lot of duplicate files that it is hard to physically delete them, is there any free software to automatically delete the repeated files and remain with one?
0 Reactions
1 Replies
495 Views
Between 1949 and 1962 everything we needed to know about microwaves was already known. All interference of the human condition was known by 1952. All birth defects, organs, cells, brain functions...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau tusaidiane hapa kwa mwenye ujuzi, Jinsi ya ku-unlock Twitter Suspended Account kama kuna wenye uzoefu
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habarini za usiku huu, naomba kujuzwa application nzuri ambayo itanisaidia kuona football live kwa simu ya iphone (IOS). Natanguliza shukran kwa wenye kufahamu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Simu yangu samsung A50, nikipiga au kupigiwa simu, baada ya dakika chache wakati naongea hukatika na kuwa kama inaji-restart hivi. Yaani siwezi kuongea zaidi ya dk. bila kukatika. Tatizo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo wataalamu hizi kazi ni uhakika wangu popote mlipo mko vema na mnapambana vilivyo na haya maisha. Nisiwachoshe sana na kama mnavyoona title yangu hapo juu[emoji115] nimeona ni vema...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wakuuu. Naomba niende straight ili nipate ushauri kama ninavyohitaji. Last Week Nimenunua Simu (Infinix Hot 8) nadhani wengi mnaifahamu aina hii ya simu ikiwa nimeshawishika na sifa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau habari za jioni,nilikuwa nahitaji kuchukua hii simu ya samsung a51 overall hii simu iko vizur? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hi everybody, - I started using an android phone, I want to use the ogwhatsapp application on my new android phone but have not yet known where to download and install it for safe, easy and best...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Ni baadhi ya vifupisho hutumika na kuandikwa maeneo mbalimbali. •CPU ...Central Processing Unit •GPU... Graphics Processing Unit •LCD... Liquid Crystal Display •GPS... Global Positioning...
1 Reactions
0 Replies
545 Views
Kama Uzi unavyo jieleza tupo hapa kupolea maoni maono pamoja na Ushuhuda kutoka kwa watu mbalimbali kwa pamoja kuusiana na kuagiza au kununua bidhaa kupitia Kikuu. Naomba kwa pamoja tuanze...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Kwa wale wanao sajili laini hivi kuna uwezekano wa kusajili laini za Halotel kwa kutumia Finger Print ya Voda au kama kuna njia nyingine naomba mnisaidie maana nimekosa Finger...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom