Wakuu karibuni kufahamishana ni kampuni gani zina betrii nzuri za simu au ni vigezo gani vya kuangalia ili kutambua ubora wa betrii haswa katika uimara na utunzaji wa chaji.
Karibuni.
Habari wakuu,
Naomba msaada kujua jinsi ninavyoweza kupata file lenye orodha ya cache zote za browser ya chrome tangu nilipoanza kutumia hii browser.
Nimejaribu about//:cache lakini inaonekana...
Wakuu nina kimanual changu nataka kujua naweza vipi kuifanya mtu asiediti? Kwenye Pdf najua mtu anaweza copy na kupaste sasa nataka mtu asiweze kuicopy wala kuipaste ili abadilishe iwe yake...
Wadau wa JamiiForums habari yenu,
Kuna files ambazo ni nyeti sana nilizi-ZIP na ku-Encrypt kwa password mwaka 2008-2009.
Bahati mbaya sana nimesahau Password yake tayari nimehangaika sana pasipo...
Nina radio yangu ya Sony nimetoka kuipenda sana, hivyo kuna tatizo limejitokeza sasa nahitaji fundi wa uhakika ambae atanifanikishia jambo langu.
Na kifaa kinachohitajika ni hicho hapo chini...
Habari Wakuu,
Ninaomba mwenye kujua Application ya kurecover deleted photos kwenye Android aniambie jina lake ili niitafute
Aidha, iwe inafanya kazi maana ukienda Playstore nyingi ni fake na...
Habari wanaJF,
Nimekuja kwenu kuomba msaada kwa yoyote mwenye kuweza kunifahamisha zaidi jinsi nitakavyoweza kudownload CORELDRAWX3
Au nyingine yeyote yenye kufanya kazi sawa na hii
Asanteni
Ninamemory card yangu ya sandisk ya 64Gb tatzo lake kubwa ni virusi yaan unaweza kuingiza vitu vyako lakini ukakutaa baada ya miezi miwili au 3.
Unakuta baadhi ya nyimbo zina goma goma naombeni...
Habari za muda na siku JF members? Hopefully mko vema na harakati zinaendelea.
Nilishawahi kuwa na threads kadhaa hapa jukwaani ambapo threads zangu zililenga kwenye mobile software fix, tips...
Hivi wadau ni Mimi tu au?
Ni mimi tu ninayeona Simu za Zamani za Nokia kama Nokia2700, Xpress Music, E71 N.k zilikuwa Bora kabisa kuliko za sasa?
Je, Nokia hawawezi kuzalisha tena hizo Simu?
Habari ya majukumu wadau wa JamiiForums.
Hivi karibuni App ya Google Chrome imekuwa ikijifungua tabs za matangazo bila mimi kuigusa.
Mfano: Ninaweza kuwa nipo YouTube halafu ghafla Google Chrome...
Leo tunaenda kuangalia jinsi ya kutengeneza maabara yako binafsi kwajili ya majaribio ya kufanyia udukuzi..
Kama inavyo fahamika kuwa maabara ni sehemu maalumu ambayo tafiti mbali mbali...
Shida ni nini wajuzi maana nimejaribu kudownload hiyo APK kupitia Opera Mini imeandika hivyo. Nikaona ngoja nijaribu kudownload kupitia Google bado pia imeniandikia hivyo
Leo Juni 23, China imezindua satelaiti yake ya mwisho kukamilisha mfumo wa ‘Geolocation’ unaoitwa BeiDou Navigation Satellite System (BDS)
Satelaiti hiyo iliyopewa jina la BeiDou-3GEO3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.