Habari!
Wakuu naomba kufahamu wapi kwa Kariakoo naweza pata hii cable maana nimezunguka Kariakoo Mtaa wa Aggrey na Likoma pale kwenye maduka wengine walikuwa hata hawaelewi ni nini...
Habari ya weekend wakuu,
Samahani naombeni mnisaidie kidogo. Nataka kubadilisha kifaa cha mawasililiano na lengo langu ni kati ya Samsung s8 au Nokia 6.1. Kwa wataalam naombeni ushauri ipi kati...
wakubwa poleni na majukumu nimekutana na shida moja nina simu moja ya kichina
( huawei honor 10 lite) najaribu ku install androids apps kama whatsapp, na google play hazikubali mwenye ufaham
Habarini wakuu, natafuta applock fulani hivi niliwahi itumia kwenye simu yangu ya Oppo. App ile niliioenda kwa sababu ilikuwa,kama ukitaka kufungua file nilikolilo ck basi inakuandikia...
Swali langu ni kujuzwa kuhusu rocket ni aina gani? Ya ndege Maana naiona sana juu mawinguni inapita inatoa sijui ni moshi ule unakuwa mrefu hivi harafu baadaye unafutika,
Je? Uwanja wake upo...
Kama inavyojieleza ...
Ninahitaji uelewa wa solar power sytem ambayo itaweza kuwasha taa 14 na TV ambayo sio ya solar na sehemu ya kuchaji simu. Kwa mahitaji haya mahitaji solar yenye ukubwa gani?
Habari zenu,
Kwa mtu mwenye uelewa wa jinsi ya kutengeneza video clip hasa zile za mpira (highlight sport) na kuupload YouTube bila kupata copyright claim naombeni msaada.
Asanteni
Nataka kununua sub woofer za aborder ila sijawahi kuzifahamu popote, hivyo sina amani naombeni mnipe ujuzi kwa wale walozitumia, na bajeti ya laki 1.
Pia nataka mniambie sub woofer amayo...
Teknolojia ya #5G imetumika katika maisha ya watu kwenye kipindi cha virusi vya Corona. Gari la kujiendesha bila ya watu linatumika kupeleka mizigo kwa wakazi wa wilaya ya #Changxing, mkoani...
Kati ya hizo Laptop mbili niichukue ipi wakuu.
Zote mbili zinaweza tumika Kama TABLET
Naamanisha ipi Ina uiamara zaidi kuliko zingine
Itatumika kwa kazi za kawaida tu
Cc.@cheifMkwawa
Habari...
Naomba maelekezo kuhusu namna ya ku-update android ya simu yangu.
Simu yangu ni samsung S7 Edge ya 2016 ina android version 6.0.1
Shukrani.
Chief-Mkwawa
Jana nimechelewa job kulikua na overtime kazini tumerudi sa 3 usiku Asa wife alijua nipo kwa mchepuko wakati sms nilimtumia kua nitachelewaa. Leo asubuhi natoka kwenda job nataka nitume SMS naona...
Habari wakuu, baada ya kuvumilia changamoto za simu za TECNO hasa upande wa possessor, sasa niseme basi! Imetosha, labda kwa kuwa sijawahi kununua zile kubwa mfano Tecno i7?
Shida itabaki...
Msaada account yangu ya Facebook niliiondolea email na namba ya simu nikitaka kuifuta haikubali, au kufuta picha hazifutiki nikitaka kuilogin holla hata nikitaka kuweka namba au emails haikubali ...
Nina printer ya inkjet, naona inaprint karatasi chache kama 150 tu imeisha na wino ni bei,
Nimeshauriwa kununua laserjet printer.
Je ni ipi nzuri nayoweza kupata kwa bajeti ya laki 2
Naomba kusaidiwa tatizo hili lililoanza hivi karibuni.
Niliponunua na kufanya setting za kawaida za hii Smart TV Sony bravia yenye bowser Opera nilikuwa nikiona videos zote za you tube na za site...
Habari zenu wana jf Leo nilikuwa naomba kujuzwa kuusu izi Intel HD 3000, 4000 na zingne pia nimekuwa naangaika sana kuelewa maaana Intel HD 3000 nimeikuta kwenye core i3 na Intel hd 4000 nimeikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.