Wakuu habari zenu wana JamiiForums,
Nilikua nataka nia Update Android Version kutoka 5.1.1 kwenda Android 7 kwenye simu yangu. Nimejaribu lakini nimeshindwa,
Je, nifanyaje ili niweze Ku-Update...
Inasikitisha na kuhuzunika pale utakapo ibiwa simu yako au kupoteza.
Kwanza kabisa unajiuliza nianzie wapi niweze kuipata, uchungu huongezeka zaidi pale utakapopiga na simu kuita. Unaweza...
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku.
Nahitaji msaada toka kwenu nina Subwoofer aina ya aborder (Model: AB 3350 imekumbwa na tatizo la sauti). Ninapoiwasha inatoa sauti ya chini sana wakati...
Habari za mujukumu WanaJamiiForums,
Ninaomba msaada wa kufahamu jinsi ya kutatua tatizo la simu kujiweka loud speaker bila kubonyeza sehemu ya loud speaker mara unapopokea simu
Asanteni
Nawasalimu wandugu.
Nimekuwa na shida ya matumizi ya umeme kwenye friji. Kwa siku yaani 24hrs inatumia unit 5 hadi 6. Nililazimika kuuza friji ya zamani iliyokuwa ya mtumba (second hand) na...
Tecno Spark 4 Air ni simu yenye sifa zifuatazo:-
1. Display: IPS LCD, 6.1 inches
2. OS: Android 9.0 (Pie)
Kwa kuboresha toleo la hivi karibuni la mfumo endeshi na kiolesura cha mtumiaji...
Habarini ndugu zangu wana JF,
Naomba kusaidiwa namna ya kutengeneza transmitter na receiver yake yenye uwezo wa kunasa umbali wa takribani metre 1000 kwa kutumia spea zinazoweza kupatikana apa...
Habari wanajamvi,
Natafuta laptop charger tajwa hapo juu. Zingatia zifuatazo:
1. Laptop Charger iwe mpya
2. Nitajie bei inbox (PM)
3. Risiti iwe ya EFD kwa kuwa nanunua kwa ajili ya taasisi
The...
Ndugu wanajanvi
Niwape pole sana na majukumu mnayo endelea nayo mpaka sasa. Shida yangu kubwa nazitafuta hizi laptop, sasa ni kipindi cha miezi sita hapa Tanzania bila mafanikio yoyote.
Ninaomba...
Habari za majukum wadau wa JamiiForums,
Naitaj kujua jinsi ya kuyahuisha mafaili yaliyo athiriwa na ZWER Virus katika Computer.
Hii ni baada ya kirusi huyo kuingia na kuyafanya mafaili yote...
Hello,
Naombeni msaada wadau console yangu kuna mtu nilimuazima juzi kati anadai kipind anacheza ili zima na kuwaka hivi ghafla iko jitune kwenye resolution hiyo ya 480p toka hapo haijawahi...
Habari wanajamvi,
Je inawezeka kuchip Xbox 360 kwa software pekee?
Mimi nina console ya xbox360 sasa nahitaji kuichip wakuu mwenye maujuzi tafadhari anisaidie
Sasa unaweza kununua roboti kutoka Boston Dynamics kampuni inayomilikiwa na Softbank.
Karibu
Tuliandika mengi kuhusu roboti anayetengenezwa na kampuni ya Boston Dynamics. Kampuni ya Boston...
China Jumanne ilirusha satilaiti ya mwisho ya Mfumo wa kuongozea wa BeiDou(BDS), ambapo inaonesha kukamilika kwa uendelezaji wa mfumo huo nchini, miaka 26 baada ya ujenzi wa BeiDou-1 kuanza rasmi...
Kwa wale watalaam wa mambo ya technology
VPN ipi ni nzuri kwa matumizi?
======
A virtual private network (VPN) extends a private network across a public network and enables users to send and...
Habari wanaJF,
Wajuzi wa haya mambo mnijuze kwanini hivyo vitu vinatumia sana chaji na kufanya battery kuishiwa chaji haraka
Ni nini na vinafanyaje kazi pia naomba kujua ninawezaje kuzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.