Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu hapa nashindwa kuelewa kabisa Simu Ina internal memory 8gb Ram1gb Sasa haya mafile ya 61gb yalieneaje humu??
1 Reactions
28 Replies
2K Views
November mwaka jana nilileta Uzi ukihusu tahadhari LG Workshop Dar, wakati ile nilipeleka flat screen TV kwa matengenezo. Tatizo ni picha kuonekana na kupotea ila sauti haipotei, nimeipeleka...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello wanaJF, Natumaini mko poa, naombeni mnambie app nzuri ya kudownload miziki kwenye iphone, natumia audiomack lakini sa nyingine nimependa wimbo flani nikienda kuusearch kule siupati. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo, whatsup imetangaza kuzindua huduma yake mpya inayomruhusu mteja kutuma na kupokea pesa bure bila makato yoyote. Mteja anachotakiwa kufanya ni, kuunganisha Whatsup pamoja na card yake ya...
15 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu telegram na WhatsApp kwangu naona ni mitandao inayofanana katika option mbalimbali. Je iweje WhatsApp ifahamike na iwe na watumiaji wengi kuzid Telegram? Mkujeni mnijibu
2 Reactions
87 Replies
15K Views
Habari wana jamii, nlikuwa na mkanda wa VHS au matofali kwa wengi walivyozoea. Sasa nlikuwa nataka niamishe content zilizopo ndani niweke katika CD kama unajua mtu anaehusika na kazi hizi naomba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu naomba kujuzwa ni Magame yapi yanacheza au yanakubali kuplay kwenye desktop ya core 2 na ram 2gb hdd 320 na window ipi ni nzuri kwa magame kutokana na uwezo wa mashine yangu.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtandao wa Twitter umetambulisha mfumo mpya ambapo watumiaji wataweza kutuma ujumbe kwa sauti (Audio Tweets) wenye sekunde 140 Mbali na kutuma ujumbe wa kawaida (Tweet), kuambatanisha picha au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu? Niko na macbook pro ya mwaka 2011 ili corrupt os sina hakika na os iliyo kuwemo awali nimejaribu kuweka os mbali mbali kama mac sierra, Mac OS X Snow Leopard zimekataa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wanaokumbuka kuna jamaa waliibuka Jijini Dar es salaama na kuanza kukamata Computer ambazo zimepigwa Window fake na software nyingine za Microsoft. Nakumbuka yule Jamaa wa Sunrise...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa Wakuu habari za mida hii, Shida yangu ni hiyo kuna baadhi ya thread ukiwa unapita unakiona kipo mbele ya threads. Sijajua kina maana gani au ndo ban hiyo,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naweza kumpata mtu pasipo kumpigia na kujua alipo kama vile unavyotafuta sehemu kwa kutumia google search? Pls any one.
0 Reactions
24 Replies
48K Views
jamani naomba msaada how to restore back my fb account bcuz kuna mtu ameni-hack, naombeni ujuzi kidgo jinsi ya kuirejesha. pia itakuwa ni elimu pia kidgo kwa wale ambao wanahitaji kujua na kujifunza
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mwenye kujua wapi naweza kuhanisha picha kutoka ktk vhc( kama takua nimekosea namaanisha ile mikanda ya video a.k.a matofal) kuweka ktk flash.. nipo Dar
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakuu, Heri ya mwaka mpya 2017. Natumani sikukuu inaenda salama kabisa. Ni vyema kabla ya kufanya manunuzi kuchunguza kwanza vitu/vifaa husuka unavyonunua kama vinakidhi kiwango...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari ya muda huu viongozi. Kuna hii simu hapa ni TECNO C7 hii simu niko nayo muda mrefu tangu mwaka 2017 sijawahi kupeleka kwa fundi na haijawahi kunisumbua Sasa juzi hapa nilikua na peruzi...
0 Reactions
68 Replies
5K Views
Wakuu, naombeni maujanja ya kuhamisha picha kutoka kwenye "VHS" kwenda kwenye mfumo wa CD. Nisaidieni tafadhali.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau nina simu aina ya Samsung A30 Kwenye data haifanyi kazi ila ya voda ina operate kawaida kwenye internet . Msaaada wadau nifanyeje
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JamiiForums nina option mbili za simu Samsung S6 plain na A10s naombeni mnismbie ni simu ipi bora kati ya hizo ili niweze kuinunua Nawasilisha
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Matumaini wazima wa afya, Twende moja kwa moja mimi shida yangu ni kutaka kujua au kupewa maujuzi kwamba naweza kuona huko habari chanzo chochote cha habari!? Lakini wenyewe nao wana links yao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom