Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini za asubuhi wanajamvi wenzangu, imani yangu mko salama na tunaendelea kupambana kila kukicha huku tukiombea JF idumu milele. Naomba kwenda kwenye mada ama ulizo fupi. Kuna rafiki yangu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu wanajukwaa Jf suluhisho la changamoto za kila namna hapa ndo nyumbani kabisa. Ni hivi hichi kingamuzi sijakitumia takribani miezi 7 sasa. Mimi ni fundi kiasi kwasababu hata visumbusi huwa...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Kuna wanaodai hii wallpaper,picha ya kawaida tu ukiiweka kwenye simu yako kama wallpaper basi simu ya android itacrash,je sababu ni nini na kuna picha za namna hii nyingi tu zinazoweza kusababisha...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu habarini. Nina "external hard drive" ambayo nimekuwa naitumia kwa muda mrefu sasa, na imehifadhi nyaraka zangu muhimu sana. Ajabu sasa hivi kila ninapoichomeka kwenye PC haifunguki, lakini...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi inawezekana kupata Betri ya kampuni nyingine yenye Mah kubwa kwa simu yenye battery za mah ndogo? Inawezekana kutumia kwenye hiyo simu? Mfano mimi nina Tecno Spark4 air ina 4g kila kitu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Samahani wanajamvi, Naomba kufahamu kuna memory card niliiweka vitu muhimu sana, niliiweka sehemu, leo naichukua kuoweka kwenye device imegoma kabsa kusoma. Nimebadili device napata ujumbe wa...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa. Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Habar wakubwaaa Kuna internet nimeunganishiwaa na jamaa yangu flan ni 7000 ina speed balaaa ila tu naona siwezi kufanga tetharing (wifi kwa mtu mwingine). Embu wenye elimu juu ya hili atujuze...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa anaye fahamu jinsi ya kutengeneza social network bila kufanya coding naomba anielekeze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau wa hili jukwaa kwa heshima zote naomba mnisaidie kuwa ni internet gani nzuri kwa sasa yenye offer nzuri. Ningependa iwe unlimited bundle ya mwezi. Wifi ( router)
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada wa kupata best plugin zinazotumika kutengeneza beat za bongo fleva Natanguliza shukrani za dhati kwenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za humu, kwa takribani two years nilikuwa napata kipato cha ziada via Google ads kupitia apps zangu, dah leo nimepokea email kwamba my account has been terminated nimepata shock kidogo by...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Simu yangu tajwa hapo juu nimeikandamiza kwenye mlango ikapasuka kioo cha camera ya nyuma. Naomba kuuliza kama spare zake zipo na bei yake. Nipo Arusha.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari, nina simu ya sumsung hapa toka niupdate adroid 10 inajirestart bila sababu, je, tatizo ni nini na linatatuliwaje?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu habari kama kichwa kinavyojieza naomba msaada mimi nataka kutengeneza instrumental na ninayo fl studio lakini hipo demo sasa kwa wanaojua wapi naweza kupata hyo fl studio 12 iliyo full...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni wiki sasa kila nikiweka sponsor kwenye page ya insta inakataa' inajibu hivi. Nini kifanyike? Pia page ya fb inakataa kuconnect na ya insta..
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salam Wakuu, Kwa yeyote mwenye ujuzi wa ku-recover data zilizofutwa kwenye LAPTOP naomba anicheki kwa 0784132525. Nilifuta taarifa mwezi FEBRUARY 2020 kuhamishia kwenye PC nyingine na bahati...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Samahan kwa usumbufu wakuu naomba kujuzwa maana ya maneno haya rangi nyekundu yanayosomeka "Custom Binary bloked by FRP Lock" hii ni simu ya Samsung j7 neo ambayo kuna mtu anataka kuinunua sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini za muda huu, naomba msaada wenu, kwenye ili, nina HDD (Hard Disk Drive) niliitaji kuiwekea password basi siku ya ijumaa saa 3 asubuhi nikafanya ilo zoezi nilifata procedure zote ila...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini Wanajamvi. Naomba Msaada wa Maana ya Specifications ya Maneno haya kwenye Hizi Screen za Kisasa (TVs). 1. Smart 2. Smart uhd 4k 3. Smart Android Uhd 4k Ahsanteni.Chief-Mkwawa mchango...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom