Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natumaini Ni wazima naomba kujua simu ipi Ni nzuri zaidi Kati ya hizo mbili Samsung S8+ Samsung M31
1 Reactions
68 Replies
9K Views
Kuna baadhi ya kumbukumbu zangu zikiwemo picha na video niliweka kwenye file la siri la application ya VAULTS, sasa kwa bahati mbaya nikazifuta pasipo kukusudia, nimefanya jitahada zote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Grow with Google, Andela and Pluralsight have partnered to provide a new program to support software developers in Africa on Android, Google Cloud and Mobile Web skills development tracks. The aim...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Habari, Naombeni msaada nahitaji kununua gemes za Ps4 kwenye Store yao, ila shida inakuja hamna location ya Tanzania ukiwa unatengeneza account. Iila nimetengeneza account nikaweka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali nyingi ikiwemo Tanzania wamekuwa hacked na kuchunguzwa na kundi la hackers tangu mwaka 2012 kupitia vulnerability ambayo waliigundua katika router za MikroticOs. Vulnerability hiyo...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Simu nyingi ukiiweka juu ya kitu chochote inakataa kutouch mpaka uibebe naomba kujuzwa kitalaam inakuwa kwa sababu gani?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dunia inakwenda kwa kasi sana! Teknolojia ya mawasiliano nayo inazidi kubadilika kila kukicha. Miaka kadhaa iliyopita, hakukuwa na simu janja! Smart phones. Wajanja wote walikuwa wanatumia simu...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari. Naomba kuelekezwa setting. Nina infinix hot 8. Ninapompigia mtu screen inakuwa black/off huwezi kuikata simu mpaka uliyempigia ndiye atakata. Asipokataa mpaka vocha yako iishe. Kwa kweli...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
hi, brothers and sisters (wakuu). as the heading of the thread above, am looking for any computer-related internship to increase my knowledge and experience, I will cover my own cost including...
1 Reactions
1 Replies
539 Views
Can a group admin remove the group creator on WhatsApp? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Habari wakuu, Jana nimefanya manunuzi Ebay, bahati mbaya seller akaingia mitini. Nikapewa refund na paypal, lakini mpaka sasa hivi masaa 18 yamepita, siioni kwenye balance yangu ya mpesa...
1 Reactions
15 Replies
37K Views
Salaam, Nimekuwa na changamoto, kila internal hdd unayonunua inakufa baada ya muda mfupi. Je, lipi linaweza kuwa suluhisho?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa naulizia battery ya hiyo Dell inspiron 17 3737 inapitikana kwa bei gani? Na wapi naweza kupata. Niko Dar. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
999 Views
Wakuu, heshima kwenu wote! Nina laptop DELL INSPIRON N5040, betri yake imekufa kabisa! haiwezi kutunza power ata dakika 1 bila ku-plug kwenye umeme! Laptop niliinunua mpya mwaka juzi pale SAPNA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Niaje wanaaaaaaaaaaaaaa Thefreedom hapa sasa leo embu tujaribu kuendelea pale ambapo tuliiiishia jana . kama wewe ni mgeni basiii tupo hapa kudiscuss issue nzima ya dll HIJACKING fud backdoorS...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nahitaji software ya kushushia video kwenye Youtube kwenye Macbook, ikiwa zipo zeye funguo tafadhali nishushie na funguo zake
0 Reactions
3 Replies
984 Views
FreeCodeCamp ni mmoja kati ya mtandao unaotoa elimu nyingi kuhusu kuandika ‘codes’ ili kutengeneza ‘projects’ mbalimbali ikiwemo kutengeneza ‘App’ za android, vikokotoo na tovuti Hivi karibuni...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani nlikua nauliza maeneo gani hapa Dar wanajihusisha na kubadilisha keyboard za PC aina ya HP. Na inakua sh. ngapi? Kwa yeyote anaejua aniambie na pia kama kuna chochote cha kuzungumza kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HabarI zenu jamani, naomba msaada kwanini nikitumia SMS kwa muda mrefu mwisho wa siku natumiwa SMS na Airtel ikisema nimefikia kikomo cha kutuma SMS. Msaada tafadhali kwa anayejua hili tatizo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za muda huu friends. Thefreedom is back agian na leo tutadiscuss very briefly kuhusu dll hijacking katika software ambazo ziko vulnerable to gain access. lengo kuu ni kujikinga na...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom