Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama nataka WhatsApp yang isijulikane kama inatumika yaani kumjuulisha mtu anaenipigia kama inatumika (byzy) nifanye kitu gani? Au nifanye setting gani kwenye Whatsap ili asijue kama inatumika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa, Mimi ni blogger na nahitaji Msaada wenu mablogers wenzang wenye ujuz zaidi na Google search console. Ninapokea ujumbe unaosema URL is on Google, but has issues Kila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumia samsung s.7 edge, ilikuwa imejaa nikaamua kuireboot ianze upya lakini nilikosea nikafuta data activation sasa hivi nikiweka bando minara ya internet haisomi mpaaka nitumie wifi. Msaada jamani
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Hii ni kwa wale wanaotumia fmwhatsaap, yowhatsaap, gbwhatsaap na nyingine kama hizi ila sio kwa wale wanaotumia whatsaap ya kawaida Fungua whatsaap yako then click kwenye vidot vitatu unavyo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu vibaka wameniibia simu yangu Samsung Galaxy Tab A 7. android 5.x.x nimejaribu kuitrack lakini naona itakua imefanyiwa factory reset, android version yake haina ile lock ambayo hata uki rest...
1 Reactions
117 Replies
13K Views
Kufupisha tu ni kwamba nawezaje kuzuia kupata update ya WhatsApp status NB;Kwa ambaye hajanielewa yaani sihitaji kuview status ya mtu yeyote WhatsApp na nisipate update hata kama mtu akiweka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakubwa? Kuna simu hapa inagoma kupiga picha. Imeflashiwa lakini bado shida tupu naomba msaada wenu Nimeweka picha jinsi inavyo command upande wa picha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza Napenda kujua na kufahamu teknolojia ya kuwasha zile taa za barabarani hasa zile zinazotumia solar battery katika barabara zetu nyingi hapa Tanzania...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hapa nazungumzia fake flash drives Ambazo zimeonekana kuwa na matatizo mbalimbali Ikiwemo corruption Ya files unazoweka na kadhalika Wengi wanalalamika Flash zinapunguwa uwezo Zenyewe na...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Tafadhali ndugu zangu, Kuna ujumbe nilifuta kwa ajili ya kupata nafasi kwenye simu, sasa nina uhitaji tena. Inawezekana kuupata na kuusoma tena Ni simu ya teckno pouvoir 3
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mnipe huu ujuzi maana kuna watu wasumbufu sana duniani, wakikuona tu upo active Facebook basi hao wanaanza kuja inbox. Hakuna la maana wakuambialo zaidi ya kupigana virungu tu. So nipeni...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu khabari zenu, naomba kujua namna ya kujifunza graphics design ni njia gani nitumie ili niweze kujua? Napenda kujifunza vitu vipya ivyo naomba muongozo wa namna ya kufahamu na kuelewa...
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu kioo changu cha PC kimevujia wino naweza kusafishiwa kioo kikawa safi au kunaulazima wa kununua kingine, msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naanza mm kuhusu iphone Yaan iphone bhana simu ni yako lakini ukisahau passcode tu kwisha Pia haina mfumo mzuri wa music yaan eti hadi ununue duuh Pia haimpi mtumiaji upana wa kuchagua cha kufanya...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu natumia simu aina ya Huawei Y9 Prime Nimejaribu kuhamisha files Kutoka kwenye PC kwenda kwenye simu Lakini imeshindikana. Sasa sijajua tatizo litakuwa ni kwenye simu au USB cable, maana...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Edy Wan asked how to safely remove a flash drive, or an external hard drive, when Windows says it isn't safe to do so. If you unplug a USB external drive before making sure it's safe to do so...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Pay television service providers will no longer lock out competitors from using their set-top boxes to broadcast content to consumers. In a judgment that throws the subscription-based TV...
1 Reactions
0 Replies
449 Views
Naomba msaada laptop yangu ilikuwa inakaa na chaji fresh sasa juzi usiku nilikuwa naitumia nikaizima kuja iwasha asubuhi naweka charge kweny upande wa betri inachora x the inaandika charge...
0 Reactions
6 Replies
958 Views
Nauliza ni vigezo gani hutumika mpaka account ya instagram iwe verified?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, nina flash aina ya Imation 8gb ambayo mara ya mwisho kudetect ilikua wakati nakopi vitu toka kwenye pc. Ila saizi kila nikiiconnect haioneshi response yoyote ile, nimejaribu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom